Habari Ma doctor Wa JF
Stori ni ndefu nifupishe kiasi
Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku inayofata ikajirudia nikaenda faragha kujitazama kwa uamkin nikakuta kichwa cha uume kimezungukwa na...