ukerewe

  1. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Baada ya ajali ya MV Nyerere kuua watu wengi, mila ya kutakasana yashika kasi Ukerewe

    Tukiwa bado na majonzi ya kuondokewa na wapendwa, ndugu,jamaa na marafiki kwenye ajali mbaya ambayo iliangamiza nguvu kazi kubwa ya taifa. Huko wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza,sasa hivi kubwa linaloendelea kwa mila na tamaduni za wakara kwa tukio lile ni "Kutakasana " maana yake kuondoa mkosi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe wakiwa mita chache kutoka kivuko kilipozama ==== Taarifa Kwa Umma Kutoka Wakala wa Ufundi na...
Back
Top Bottom