uke wenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Mke mdogo amuua mke mkubwa wakigombania zamu ya kulala kwa mume

    Maisha ya wanawake wa kiislamu wa kitanzania yana mateso sana (hivi unajua sio kila nchi za kiislamu huruhusu hili). Sasa wameuana wakigombea kulala kwa mume, mke mkubwa akiwapiga stop wenzake kuwa yeye ndio mkubwa asali alambe yeye kwa uhuru wengine anawapangia. USSR
  2. sky soldier

    Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  3. DALA

    Tulio na wake zaidi ya mmoja, tukutane tubadilishane uzoefu

    Natumai siku imeenda vizuri! Moja kwa moja kwenye mada, katika jamii yetu ya Kiafrika kuwa na wake zaidi ya mmoja (ndoa ya mtaala) ni jambo la kawaida toka enzi. Changamoto iliyojitokeza ni ujio wa dini ambayo kwa kiasi kikubwa ilitumika kutuweka chini na tamaduni zetu hivyo wengi wetu...
  4. M

    Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

    Habari zenu wakuu, Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha. Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe...
  5. Kukudume2013

    Kuolewa ni kuolewa tu kuliko kudanga

    Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk Suluhisho la haya yote ni kukubali uke wenza, yaani ukubali kuolewa mke wa pili au watatu au wanne na hapa ni wewe mwenyewe kuwa tayari...
  6. mama D

    Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  7. Unique Flower

    Mume wa rafiki yangu anatarajia kuoa mke wa tatu wiki ijayo, rafiki yangu hana raha na ndoa yake

    Wajameni kati ya kitu ninachoogopa ni kubadili dini niwe muislamu. Na ndoa yao imefunguliwa. Ipo kirahisi sana. Unaolewa leo kwa gharama kubwa akimaliza haja zake anakupa talaka tatu. Hapo mashosti wanakucheka umeachwa unashangaa. Juzi nilienda kwa shosti yangu kaolewa huu ni mwaka wapili mie...
Back
Top Bottom