ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Upole wa watanzania si ujinga msipuuze Watanzania aisee

  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

    Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
  3. GuDume

    JamiiForums Tanzania Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie. Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri...
  4. Griss

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa yanga acheni ujinga

    Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu Atadondoka na kuondoka na yanga itabaki Tundu Lissu ni shabiki Lia Lia wa yanga na ameshakuwa mwanachama uko...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Halotel acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga.

    Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana . Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB. MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana . Sijui kiongozi wenu ni nani ...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA imeponzwa na ujinga wa wanaharakati

    Wanaukumbi. CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI .. Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia. Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania wanasiasa wakifa eti wameuawa ila ndugu zao huko kijijini kila uchwao wanakufa eti wanasema ni natural death

    WaTanzania bado tunazidi kuonekana wapumbavu kila uchwao sijajua ni elimu yetu ya kimagumashi au nini au kwasababu waafrika au waTanzania tumeishi kwenye misingi ya kuwaona wanasiasa au viongozi ni waungu watu na inashangaza kiukweli kwasababu Mwanasiasa au kiongozi akifariki tu tunakimbilia...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Siasa ni ujinga

    Siasa ni ujinga ulio kubuhu. Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya -Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa - Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu - Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimelidondosha Bumunda jingine leo. Sitaki ujinga

    Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea. Hii ndi siku njema. Mi sijui kwa nini nina bahati mbaya ya kupata mijidada ina shape nzuri ila haina akili...
  12. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga na cha ajabu ulikua unakiamini kabisa ukiwa mtoto ?

    Uliwahi kuamini ujinga gani ulipokuwa mtoto? Tukiwa watoto, tunakuwa tunajaribu kuelewa dunia hii kubwa na yenye mambo mengi lakini tukiwa na taarifa chache sana. Hapo ndipo tunaanza kuamini vitu vya ajabu ambavyo ukivikumbuka saivi vinachekesha, lakini vina maana pia. Labda uliwahi kufikiri...
  13. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Elimu ni umaskini na ujinga

    Nursery miaka 2 Primary miaka 7 Secondary miaka 4 Advance miaka 2 Chuo miaka 3 Kujitolea miaka 2 Jumla miaka 20 upo shuleni leo huyu mtu ni MASKINI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni woga, ujinga au kurogwa?, Watanzania mbona mpo kimya kwa haya yanayowatokea CHADEMA?

    1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya. 2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya. 3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa uongozi wao, Watanzania kimya. 4. CHADEMA kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa, Watanzania...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
  16. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Ujinga umezidi sana mjini,

    Wana hoja
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Hiki anachokifanya Mbowe ni ujuzi au ujinga?

    Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea moja kwa moja chama hiko. Japo kikatiba alibaki kua mwanachama na mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

    Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  20. C

    JamiiForums Tanzania SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi: "Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani...
Back
Top Bottom