Tuko salama!
Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao.
Gen z wao huwezi mletea hadithi za kizamani au kufikirika atabaki kukudharau tuu.
Gen Z hawaamini kwenye kumuachia Mungu...
Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake.
Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha mwisho kuabudu ujinga huu wa dini za kuja na vitabu vyake.
Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau...
Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...?
Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha.
Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
Hii code nilichelewa kuijua aisee, nimeaibika sana.
Kuna baa moja inatwa Mazembe ipo Segerea huwa naenda kuangalia mpira mara kwa mara, sasa bhana ina wahudumu wamejazia hatari, kwa wanaoijua wataelewa navyosema kujazia. Sasa pale kuna ujinga ujinga wa ujana huwa nafanya
Sasa jana nikasema...
Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia ccm
Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa ccm
Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
Kuna tabia ya hovyo imezidi kukithiri ya baadhi ya watu tena wengi wao masikini makapuku kabisa kuwakejeli na kuwazodoa watu wanaolalamika baadhi ya watoto na ndugu wa viongozi kujikatia mapande makubwa zaidi ya keki ya taifa(upendeleo). Hawa watu wanasema watu wasikosoe au kulalamikia watoto na...
Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
Dogo kamaliza shule mwaka 2023 akaja kukaa kwangu ambapo mimi ni shemeji yake. Mara ya kwanza nliona its ok akae akae akitafuta michongo kwa miezi miwili mitatu nisimbanie.
Amekaa mwaka ukaisha. Yupo tu anafuga kitambi. Anaamka saa 3 anakunywa chai. Anaangalia tv na kucheck movies tu akisubiri...
Ally Kamwe acha upimbi wa kuwagawa Watanzania kisa yanga inadhaminiwa na GSM au Kikwete na wanakupa kula
Yanga ilikuwepo kabla ya Uhuru hata Kikwete ni mtoto mdogo Sana kwenye hii timu
Atadondoka na kuondoka na yanga itabaki
Tundu Lissu ni shabiki Lia Lia wa yanga na ameshakuwa mwanachama uko...
Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani ...
Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto.
Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣
Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!.
Ni...
Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie?
Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp?
WaTz mjitafakari!!
Wanaukumbi.
CHADEMA IMEPONZWA NA UJINGA WA WANAHARAKATI ..
Tulikuwa tunaonya kuwa wanaharakati hawa akiwemo mkuu wa ujinga wao Maria wanawapoteza na kuwaharibia chama chenu cha siasa cha UFIPA hawakuwa wanasikia.
Tuliwaambia hawa watu siyo wa kuwapa chama cheni wakigeuze kuwa jukwaa la...
WaTanzania bado tunazidi kuonekana wapumbavu kila uchwao sijajua ni elimu yetu ya kimagumashi au nini au kwasababu waafrika au waTanzania tumeishi kwenye misingi ya kuwaona wanasiasa au viongozi ni waungu watu na inashangaza kiukweli kwasababu Mwanasiasa au kiongozi akifariki tu tunakimbilia...
Siasa ni ujinga ulio kubuhu.
Ujinga wa siasa ulifanya na umefanya
-Ukraine na Russia kugombana hawa ni ndugu wa damu kwa kiasi kikubwa
- Korea kugawanyika na kuzalisha kusini na kaskazini na kugeuka maadui wakati ni ndugu wa damu
- Israel na Palestine ndugu wa karibu wakigombana kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.