Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
Ingia ukumbini
Cheza kidogo
Kata keki
Tambulisha ndugu
Toa zawadi
Nenda kwenye msosi
Muziki
Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
Kwa ufupi wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo.
Siasa za Trumpa na Netanyahu hazina muelekeo salama ilitakiwa Dunia iwatenge ikibidi hata kivita,
Dunia inaaminishwa kuwa Marekani ndio walinda amani na demomrasia lakini kumbe ndio wafurugaji wa amani na demokrasia.
Wanasiasa wa Afrika...
Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.
Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
Hapa ndio tulipofika kama Taifa kwahiyo sitashangaa hilo au la kufanana na hilo likitokea.
Naamini Heche atakuwa amepenyezewa taarifa na watu waliko serikalini au kwenye vyo vya ulinzi na usalama na hii itakuwa ni ishira ya mgawanyiko baina yao
Mjengoni wanafanya maigizo tu na sishangai...
Kuna mikoa inawaza ushirikina na imani potofu tu kuna mikoa ni ya ajabu sana yaani watu wake ni makatili na wamekosa elimu na mijitu inayowaza imani potofu eti kuibiwa nyeti huu ni ujinga wa kiwango cha lami fuatilia mikoa yote ambaye wameripoti huu ujinga wa kupotelewa na nyeti ni mikoa ambayo...
Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara
Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka.
Leo Mwigulu anadai eti amerudisha tabasamu kwa Wananchi..
Nadhani tunataka kujua ilipo miili ya...
Moja ya vitu vinavyoniuzi ni kuona wavaa Kobazi wakiwa wanashangilia pale vita vinapoanza.
Mfano Palestina alipoanza kufanya mashambulizi pale Israel. Wavaa kobazi walianza vifijo na ndelemo, wakisema Israel lazima apotee. Mambo yakageuka Israel ikaanza kugawa dozi haswa. Wavaa kobazi wakaanza...
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2...
Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika
Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania
Pia ufutailiaji zaidi...
Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence)
1️⃣ William Ruto
Wakati huo alikuwa Waziri; sasa ni Rais wa Kenya.
Alishtakiwa ICC mwaka 2011.
Kesi ilifutwa 2016 kwa...
Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi.
Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais.
Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.