Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
Kutwa kuakaa kusifia mademu na ngono zao.
Kwenu men.
Kutwa kusifia miboo mikubwa na ngono za kuwapeleka puta.
Kwenu women.
Alafu unakuja kulalamika... Ndoa chungu" na vikauli kibao vya kuikosoa ndoa.
Kwa akili hizo ndoa yako itakuwa nzuri na itadumu kweli.
Tokeni hapa msituchanganye sie.
Cc. Chivundu, ShesRise_1, Grahams, gwapole