ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Ujenzi na Mawasiliano katika kipindi cha miaka 10 iliyopita wawajibike: Barabara na madaraja mengi yalijengwa chini ya kiwango

    Tumejionea katika mvua hizi namna madaraja yanavyokatika kama chapati au keki. Ni aibu, mengine yana vinondo vya kama lenta za vibanda vya sokoni. Hili halisemwi, ni kwanini? Nini kinafichwa. Ukiangalia barabara nazo zinazolewa na mvua za wastani tu. Mifano ipo ya kutosha kuanzia Katavi...
  3. JamiiForums Tanzania Israel: Ujenzi wa mfumo mpya wa ulinzi wa chini ya ardhi

    Israel imeanza hii leo kuchimba eneo la mpaka wake na Lebanon kwa ajili ya kufunga mfumo wa kujilinda utakaopita chini ya ardhi hii ikiwa ni mujibu wa jeshi la nchi hiyo. Luteni kanali Jonathan Conrius amesema kwenye mfumo huo kutafungwa vifaa vya kutambua shughuli zozote za uchokozi. Amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu uanze mwaka 2020 kwa kujipatia ramani na michoro bora kabisa ya Ujenzi wako

    Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada. Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural...
  5. JamiiForums Tanzania Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

    JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako aagiza mhandisi, mshauri elekezi ujenzi wa VETA kukamatwa

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kukamatwa mhandisi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha Veta mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, Dingi Fubing na mshauri elekezi, Swalehe Kyabega kwa kutosimamia kikamilifu ujenzi huo. Sumbawanga. Waziri wa Elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza ujenzi wa flyover juu ya Tazara flyover ili iwe interchange kama Ubungo

    Kwa wale wanaotoka mjini kuelekea Airport and vice versa mambo ni murua, lakini wanaotoka Buguruni kuelekea bandarini na vice versa ni kiama kama awali if not worse. Solution ni rahisi, wajenge flyover nyingine juu ya Tazara flyover ili kuokoa matrillioni ya pesa yanayopotea kutokana na malori...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

    Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
  9. JamiiForums Tanzania Nakodisha mashine ya ujenzi (pedestrian roller, plate compactor, mixer, jumping hummer)

    Mashine nzuri za ujenzi ,za compaction ,za kuvunja etc Jumping hummer (mguu wa jini) Hand roller Plate compactor Jerk hummer Air compressor Call. 0768048752
  10. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kigoma na ujenzi wa masoko kudhibiti umasikini

    MKOA wa Kigoma unatekeleza miradi miwili ya ujenzi wa masoko katika maeneo ya mpakani mwa Tanzania na Burundi ili kutatua changamoto ya mazao ya kilimo kukosa soko. Masoko hayo ni yale yanayojengwa katika Kijiji cha Muhange, wilayani Kakonko na lile la Kijiji cha Mkarazi Wilaya ya Kibondo...
  11. JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  12. JamiiForums Tanzania How do you say it in English "Wako katika ujenzi wa taifa"?

    Msaada tafadhali wanabodi kama mjuavyo hiki kizungu kilikuja na meli, sie zetu mashua.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ujenzi wa soko la Tarime mjini

    Wafanyabiashara walipewa notisi na Halmashauri ya Mji wa Tarime juu ya kuvunjwa vibanda vyao ili kupisha ujenzi wa soko la kisasa. Pamoja na hayo walitakiwa kulipwa fidia ya vibanda vyao kitu ambacho Halmashauri ya mji wa Tarime hakikufanya. Wenzao wa Geita walipovunja mabanda katika mji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
  18. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

    WATU na taasisi wameguswa na uamuzi wa serikali kujenga daraja la aina yake la Kigongo-Busisi wilaya Misungwi kwa kumhakikishia Rais John Magufuli kuwa naye bega kwa bega wakimsihi aendelee kuchapa kazi bila kujali kelele. Aidha, daraja hilo refu kuliko yote katika Afrika Mashariki na la sita...
  19. JamiiForums Tanzania Upembuzi yakinifu ujenzi wa reli ya kuunganisha Tanzania na Rwanda wakamilika

    Tanzania na Rwanda zinakamilisha mchakato wa ujenzi wa reli itakayounganisha mataifa hayo mawili ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Hayo yamesemwa Jana Jumatano November 27, 2019 na Rais Magufuli wakati akizungumza na wananchi wa Isaka Mkoani Shinyanga. “Nimeshazungumza na Rais Kagame...
  20. JamiiForums Tanzania Magufuli aagiza wananchi walipwe bilioni 3.4

    Rais John Magufuli ameliagiza Jiji la Dodoma kuanzia Desemba mosi mwaka huu lianze kulipa fidia kwa wananchi wa Kikombo Dodoma ambao maeneo yao yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi Tanzania. Ametoa agizo hilo leo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…