Uchaguzi 2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni.

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya CHADEMA ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura.

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha CHADEMA wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa CHADEMA kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura.
 
Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa mound mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hilo miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya Chadema ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha Chadema wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa Chadema kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura
Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
 
Aahh wapi..
Miradi hii ndipo Meko anakopigia hela..
Nani hajui??
Nani alimuomba ananunue mindege kwa cash??
Upigaji.
Kwani nani ambaye huidhinisha mwisho wa siku kuwa kitu kinunuliwe kwa cash? Ni sheria ipi inayotamka kuwa manunuzi ya ndege lazima yafanywe kwa mkopo?
 
Nani aliomba huo upuuzi wenu wa miradi upite Kwenye maeneo yetu?
Kwanza tuna mpango wakuanza kung'oa hiyo reli
 
Acha uongo mwananchi gani aliomba Stieglas gorge.
Wananchi kwa ujumla wetu umeme uliokuwa ukikatika katika na ukiwa na gharama kubwa za mifisadi ya Richmond na iPTL tuliitaka setikali kupitia wabunge wetu waipigie kelele itafute ufumbuzi tuondokane na hiyo adha ikaja na ufumbuzi wa stigler gorge
 
Hivi nyie huwa mnatuonaje watanzania lkn?
 
Nani aliomba huo upuuzi wenu wa miradi upite Kwenye maeneo yetu?
Kwanza tuna mpango wakuanza kung'oa hiyo reli
Si kila barabara inayopita nyumbani kwako ni yako ingine inaenda kwa jirani yako nk. reli hivyo hivyo. Huwezi hii barabara inayoenda kwa jirani leo naibomoa!!!!
 
Kwa hiyo hata ule ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato na zile taa za kuongozea magari zinazotumika kupitishia mikokoteni ya punda; ni Wananchi/Wanakijiji wa Chato ndiyo walio omba!!

Ok! Basi sawa.
 
Ukitaka kujua kama waliomba au hawakuiomba Chadema nendeni Chato kwenye kampeni kisha semeni hii miradi ya uwanja wa ndege hapa chato na hizo taa za barabarani ni ujinga mtupu wa Magufuli tupeni kura sisi tutaiondoa .Ukawasikie mwenyewe hao wana kijiji wa chato watasemaje
 
Inapondwa sababu siyo sawa Rais kusema hawezi kuongeza mishahara sababu anajenga sgr wakati jukumu la kwanza la serikali ni maendeleo ya watu watu wakiwa na maendeleo ndiyo hiyo miundo mbinu itajengwa hata katika familia kwanza mkishajitosheleza na chakula na mavazi ndipo mtaanza kujenga nyumba haiwezekana mkaacha kula na kuvaa mkasema mnajenga nyumba itakuwa haina faida maana kabla haijaisha familia itakufa kwa njaa. Ni muhimu kuangalia maisha ya watu kwanza ndipo kuwaza miundo mbinu kwanza ni afya za watu ndiyo cha muhimu bila hivo hakuna haja ya hiyo miundombinu inayosababisha watu wanazidi kuwa masikini wanashindwa kupata matibabu ya familia zao wanashindwa kusomesha watoto wao.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Kwani nani ambaye huidhinisha mwisho wa siku kuwa kitu kinunuliwe kwa cash? Ni sheria ipi inayotamka kuwa manunuzi ya ndege lazima yafanywe kwa mkopo?
Jamaa yenu alilofanikiwa nalo sana ni kuteka..kuuwa mfano Ben Saanane..kubambikia kesi wanaompinga..kunyanyasa wapinzani na mambo mengine ya ovyo.
 
Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa mound mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hilo miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya Chadema ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha Chadema wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa Chadema kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura

Mpaka uchaguzi huu uishe utakuwa umekonda. Mwanzo ulisema Nyalandu ndio atakuwa mgombea maana Lisu hana hela. Alipopita Lisu ukasema hatafanya kampeni maana hana hela. Yote umekwama, kwa sasa unalazimisha miradi kadhaa inayokosolewa kuwa ni ya wananchi. Taja ni mradi gani umekosolewa na maelezo ni yapi.
 
Ukitaka kujua kama waliomba au hawakuiomba Chadema nendeni Chato kwenye kampeni kisha semeni hii miradi ya uwanja wa ndege hapa chato na hizo taa za barabarani ni ujinga mtupu wa Magufuli tupeni kura sisi tutaiondoa .Ukawasikie mwenyewe hao wana kijiji wa chato watasemaje

Hakuna mtu anaweza kusema kuwa akipewa kura ataaondoa miradi iliyopo, ila huko huko chato ukiwauliza umuhimu wa uwanja wa ndege na ndege v/s kilimo wote majibu yao inafahamika yatakuwaje.
 
Ukitaka kujua kama waliomba au hawakuiomba Chadema nendeni Chato kwenye kampeni kisha semeni hii miradi ya uwanja wa ndege hapa chato na hizo taa za barabarani ni ujinga mtupu wa Magufuli tupeni kura sisi tutaiondoa .Ukawasikie mwenyewe hao wana kijiji wa chato watasemaje

Mwana Chato huyu hapa anashanga kwanini uwanja wa ndege ujengwe Chato wakati hakuna huduma kwa ajili ya Maendeleo ya Watu kama maji safi watu wawe na afya njema na kupunguza Kusaka maji masafa marefu muda ambao wangepiga kazi kujiletea Maendeleo ya Watu

Chadema imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuandika reli,zahanati,mashule,mabaranara nk

Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hilo miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni

Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi.

Hiyo ponda ponda ya Chadema ni at their own risk! Sababu miradi iliombwa na wapiga kura

CCM tutumie hii hoja kuwavurumisha Chadema wasipate kura maeneo hiyo miradi ilipo tuwaambie wazi mlitaka shule tukajenga kuna Chama kinaitwa Chadema kinaponda huu ujenzi mlioutaka wenyewe msikipe kura
Mradi wa Stieglers gorge uliombwa na wananchi wa Jimbo gani?
Je, mradi wa uwanja wa ndege wa KIMATAIFA wa Kijiji cha Chato, mradi wa ununuzi wa watu (wabunge na madiwani wa upinzani), mradi wa mbuga ya wanyama chato, nk... ni wananchi wa wapi waliomba??!
 
Back
Top Bottom