ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania DC Rungwe apongeza mchango wa Wananchi katika ujenzi wa Shule ya Msingi na Bweni la Sekondari

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Ikuti pamoja hosteli ya wavulana katika Shule ya Sekondari Ikuti kwa nyakati tofauti...
  2. JamiiForums Tanzania Bupe Ahoji Ujenzi wa Barabara Inayopitia Mbuga ya Wanyama ya Katavi

    BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. "Ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa 100%

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Unma na Utawala Bora, George Simbachawene ametoa hotuba kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwaajili ya Ofisi ya Rais kwa mwaka 2023/2024 Bungeni Dodoma leo ambapo amesema ujenzi wa Ikulu ya Chamwino umekamilika kwa asilimia...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara ya Ludewa - Kilosa yenye urefu wa Kilometa 24 umefikia Asilimia 90

    Musa Madirisha Kaswahili, Mhandisi Mwandamizi, Msimamizi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, TANROADS Morogoro anaelezea hatua iliyofikiwa katika Mradi wa Ludewa - Kilosa (Kilometa 24) Mkoani Morogoro umefika katika 90%. Amesema kazi inayoendelea kwa sasa ni kunyanyua tuta la barabara na kuweka...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: TANROADS yasema ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Rudewa-Kilosa (Kilometa 24) umefikia 90%

    Mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Ludewa-Kilosa yenye urefu wa kilometa 24 umefikia asilimia 90 ambapo mradi huo unatarajiwa kukamilika Julai, 2023. Kazi iliyobakia ni ujenzi wa madaraja matatu huku ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Morogoro: Ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kidatu - Ifaraka wafikia 78%, Daraja la Ruaha Mkuu kupitisha magari pande mbili

    Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS). Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Pwani: Baada ya mvua kuharibu Barabara ya Chalinze – Segera, TANROADS waendelea na ujenzi hadi usiku

    Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani. Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  9. JamiiForums Tanzania Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
  10. JamiiForums Tanzania Ifike pahala ujenzi wa majengo uwe unahakikiwa na wataalam wa serikali

    Hili ni kanisa lililoporomoka juzi kutokana na mvua kubwa iliyokuwa na upepo mkali. Iwapo wangekuwa wanasali siku hiyo kungetokea maafa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  12. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ramani, makadirio na ujenzi (experts of buildings design, estimation & construction)

    Je; 1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha) 2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya? 3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
  13. JamiiForums Tanzania 2017-2018 CAG alibaini TTCL inaidai Wizara ya Ujenzi Bilion 20.63, Imekuwaje Ripoti ya 2021 waseme hawamjui wanaemdai?

    Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa. 2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
  14. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Reli ya Dar - Ruvuma unaopangwa utafaa sana. Uanze mapema

    Nimesoma kwenye Ripoti ya Ukaguzi ya CAG Kichere. EXTRACT YA RIPOTI INASEMA "Kampuni ya Reli Tanzania (TRC) kama wakala wa utekelezaji wa mradi, iliingia makubaliano na mkandarasi mshauri kwa mkataba Na. PA/003/2013-13/C/15 kwa ajili ya upembuzi yakinifu na muundo wa awali wa ujenzi wa reli...
  16. JamiiForums Tanzania CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  17. JamiiForums Tanzania Bashe kaonyesha njia kwenye kilimo kwa kuweka vitalu vya kilimo na kuwapatia vijana, wizara ya ujenzi, nishati, na wengine wafuate.

    Wizara ya ujenzi inaweza kuandaa mkakati wa kuibua wakandarasi wadogo, hasa wanaomaliza vyuo na kuwa na uzoefu ambao wataona unafaa. Wawatake kuunda kampuni, na wawape kipaumbele Cha tenda za ujenzi za kiwango fulani wakati wakikua kama kampuni. Kampuni hizo ziorodheshwe, na iwe sharti kuzipa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi achangia ujenzi wa msikiti wa ghorofa Kibondo, Waumini wamtaja Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50. Pia, Mbunge wa Njombe...
  19. JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 225 zimetolewa na Serikali Kuu Ujenzi wa Miundombinu ya Elimu Jimbo la Manonga, Igunga, Tabora

    MHE. SEIF GULAMALI: "MILIONI 225 KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU JIMBO LA MANONGA, TABORA Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mhe. Seif Khamis Gulamali amesema kuwa tayari wamepokea fedha Shilingi Milioni 225,000,000/= kutoka Serikali Kuu za Ujenzi wa Nyumba za Waalimu na kukamilisha...
  20. JamiiForums Tanzania Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki

    Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho karibuni sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…