ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Katika ujenzi wa nchi

    nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni nyingi mno. za kutosha kujipatia kipato. kijana aliye jitambua hachagui kazi eti amesomea nini, bali...
  2. JamiiForums Tanzania Ni lini ukarabati na ujenzi wa viwanja vya kisasa vya mpira utaanza chini ya Serikali hii?

    Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu. Watanzania wamegeuzwa wajinga,wanabebeshwa mabango kwenye mechi za Yanga na Simba eti anaupiga mwingi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama ya plaster

    Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster(CEMENT MIFUKO MINGAPI)nyumba ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
  4. JamiiForums Tanzania Songwe: Ujenzi wa runway, Uzio na Taa za kuongozea ndege, vyakamilika Uwanja wa Songwe

    1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA. Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100% 2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma kuongeza kasi

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama, amewataka wakandarasi wanaondelea ya shughuli ya ujenzi wa majengo ya Mji wa Serikali Mtumba Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    MITAMBO YA BIOGAS Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama wowote wafugwao . Gharama: Gharama zetu zinategemea na aina na ukubwa wa mtambo unaotaka na...
  7. JamiiForums Tanzania Milioni 16 Zachangia Ujenzi wa Zahanati 13 Bahi, Dodoma

    MILIONI 16 ZACHANGIA UJENZI WA ZAHANATI 13 JIMBO LA BAHI, DODOMA Mbunge wa Jimbo la Bahi Mhe. Kenneth Nollo tarehe 03 Mei, 2023 alifika Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe kwa lengo la kutembelea ujenzi unaoendelea wa Zahanati ya Mapinduzi ambayo ni miongoni mwa zahanati ya 13. Zahanati zote 12...
  8. 0

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  9. JamiiForums Tanzania Jimbo la Kiteto Lapewa na TAMISEMI Shilingi 180,000,000 Ujenzi wa Madarasa Shule Kongwe

    MBUNGE MHE. EDWARD KISAU - TUMEPOKEA FEDHA ZA MIRADI YA UJENZI WA MADARASA KATIKA SHULE ZA MSINGI KONGWE JIMBO LA KITETO - TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. *Edward Ole Lekaita Kisau anapenda kuwafahamisha wananchi wa Jimbo la Kiteto kuwa jimbo limepokea fedha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema Kwa kufungua Nchi

    Ujenzi wa miradi mbalimbali ya barabara unaofanywa na Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania TANROADS umetajwa kuwa neema, manufaa na kufungua fursa mpya kwa watanzania hasa kwa kuunganisha Nchi na mikoa kwa barabara nzuri za lami. Kauli hiyo imetolewa mkoani Rukwa na Waziri wa Ujenzi na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi atimiza ahadi ya kuchangia saruji ujenzi wa zahanati na shule ili kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE SAMIZI ATIMIZA AHADI YA KUCHANGIA SARUJI UJENZI WA ZAHANATI NA SHULE ILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA. Dkt. Florence George Samizi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Jana Jumamosi Aprili 29, 2023 ametimiza ahadi yake ya kuchangia shughuli za maendeleo kwa kuchangia mifuko...
  12. JamiiForums Tanzania Rukwa: Ujenzi wa mradi wa barabara ya Ntendo-Muze-Kilyamatundu (Km 179) kwa kiwango cha lami

    Serikali ya Tanzania kupitia TANROADS inajenga mradi wa barabara ya Ntendo- Muze-Kilyamatundu (Km 179) mkoani Rukwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza mara ya baada ya kutembelea mradi huo, unaojengwa na kampuni ya China Geo – Engineering Corporation Ltd (CGC) leo Aprili 30-2023 Waziri Ujenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Bilioni 230 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa shule za msingi kupitia mradi wa kuimarisha ujifunzaji katika elimu ya awali na msingi

    BILIONI 230 ZIMETOLEWA KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA SHULE ZA MSINGI KUPITIA MRADI WA KUIMARISHA UJIFUNZAJI KATIKA ELIMU YA AWALI NA MSINGI (BOOST) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi 230,008,500,000 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

    Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni.. My Take Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia zaidi ya gharama za Kujenga SGR. Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa? Kama Kuna ulazima wa Hilo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ushetu Aibana Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Bungeni

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - MASWALI NA MAJIBU BUNGENI KUPITIA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ambalo limejibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi na...
  16. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi (JP Magufuli) Sengerema wafikia 72%, viongozi watembelea kukagua mradi

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023. Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Gharama ya ujenzi

    Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kigoma: Ujenzi wa Daraja la Malagarasi unaendelea, Mhandisi asema lina urefu wa Mita 76

    Meneja wa TANROADS Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amezungumzia Sehemu ya Tatu ya mradi wa barabara inayoendelea na ujenzi wake Mkoani hapo amegusia pia kuhusu ujenzi wa Daraja la Malagarasi. Ameeleza kuwa mradi huo unaohusisha barabara ya Mvugwe – Nduta yenye urefu wa Kilometa 59.3, gharama yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…