ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  2. JamiiForums Tanzania Airport ya Iringa Kufungua Utalii Kusini, Ujenzi Wafikia 82% - Naibu Waziri Kihenzile

    AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Magalalu

    Bungeni, Dodoma: Milioni 100 kukamilisha Ujenzi Zahanati ya Kijiji cha Magalalu Serikali itatumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shillingi millioni 100 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Masagalu kilichopo katika Halmashauri ya Kilindi. Hayo yamesemwa na Naibu...
  4. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Unaendelea Musoma Vijijini: Kisiwa cha Rukuba Kimeanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari: *25 za Kata (Serikali) *2 za Binafsi (Katoliki & SDA) Sekondari mpya tano (5)...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Gharama za ujenzi wa fremu za biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari ya Kumbukumbu ya Profesa David Massamba Waanza Rasmi - Musoma Vijijini

    UJENZI WA SEKONDARI YA KUMBUKUMBU YA PROFESA DAVID MASSAMBA WAANZA RASMI Leo, Jumatatu. tarehe 23.10.2023, ujenzi wa David Massamba Memorial Secondary School umeanza rasmi Kijijini Kurwaki, Kata ya Mugango, Musoma Vijijini. Uamuzi wa kuenzi kazi na mafanikio makubwa ya utaalamu na ubingwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tabora: Rais Samia atoa bilioni 4 ujenzi wa soko la kisasa Nzega Parking

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora. Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  12. JamiiForums Tanzania Dar construction expo kuwakutanisha wadau wa ujenzi

    Watanzania na Wadau mbalimbali wa Ujenzi watakiwa kujitokeza kwa wingi katika Maonesho ya DAR CONSTRUCTION EXPO, ili kujifunza, nakuona Teknolojia mpya itakayopatikana katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Kagera Bi. FATUMA agundua uozo mkubwa, Mbunge BKb Mjini na Meya wakalia kuti Kavu, waanzisha ujenzi Bila Ramani

    Wana JF Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu. Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” wahimiza ushirikiano na kunufaika kwa pamoja

    Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja waimarishwa

    Ujumbe wa China kwenye Umoja wa Afrika, Akademia ya Sayansi ya China, Shirika la Mpango Mpya wa Maendeleo ya Afrika, Shirika la Fedha la Teknolojia za Kilimo la Afrika na taasisi nyingine hivi karibuni zimetoa kwa pamoja pendekezo la “Kuimarisha Uvumbuzi wa Sayansi na Teknolojia kati ya China na...
  17. JamiiForums Tanzania TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi walia na ujenzi wa Daraja Kijiji cha Komdudu (Tanga), wadai wanateseka kwa muda wa miaka miwili

    Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika. Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kitongoji cha Gomora waamua kuongeza kasi kwenye ujenzi wa shule shikizi

    Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali. Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…