🚨 KELVIN Hk: USIANZE KUJENGA KAMA HUJUI NYUMBA YAKO ITAKUGHARIMU KIASI GANI HADI MWISHO!
Watu wengi huanza ujenzi wakiwa na pesa ya foundation tu.
Foundation inaisha… wanaendelea kutafuta pesa.
Walls zinaisha… wanatafuta tena.
Roofing… tena wanatafuta pesa
Plaster, milango, madirisha...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu.
Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa.
Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameishutumu Serikali kwa kuwadanganya wananchi kuhusu ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam.
Mtutura ameeleza kuwa kipimo mahsusi cha ufanisi wa bandari ni muda ambao meli inachukua tangu...
Baada ya siku kadhaa kutangza kushindwa kuendelea na ujenzi wa jumba lake Dc mwijaku kupitia ukurasa wake wa instagram ameamua kuweka wazi kuwa ana luza jumba lake hilo kwa thamani ile ile aliokuwa ana omba kumalizia kwenye finishing ya jumba hilo.
"""kujenga nyumba ni upetevu wa pesa kwa kweli...
MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6
UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO!
Watu wengi wanaanza kwa kuuliza:
❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?”
❌ “Niweke nondo mm ngapi?”
❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?”
Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa:
👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO GANI NA...
⛪🕌 UNATAKA KUJENGA KANISA AU MSIKITI? USIANZE NA CEMENT!
Watu wengi wakipata kiwanja cha kujenga sehemu ya ibada, kitu cha kwanza wanachofikiria ni:
“Tuanze kununua cement, mchanga na kokoto.” 😅
Lakini hapo ndipo tatizo linaweza kuanzia.
Kabla hujanunua hata mfuko mmoja wa cement, jiulize...
KWA NINI GHARAMA ZA UJENZI HAZIFANANI?
Umeshawahi kujiuliza:
Kwa nini nyumba ya 150 SQM inaweza kugharimu tofauti na jengo jingine lenye 150 SQM?
Jibu ni hili:
SQM PEKE YAKE HAIAMUI GHARAMA YA JENGO.
Nyumba ya makazi inaweza kuwa na partitions nyingi, vyumba, vyoo na finishing mbalimbali...
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je linawezekana?
#Wajuzi mtujuze!
-SATO
-SANGARA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Amesema kazi hiyo...
Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S
Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo
Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote
Marekebisho ya ramani za aina zote na michanganuo ya ramani zote (UTALIPIA ELFU 20)
TUnakushauri...
Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani.
Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
Anonymous
Thread
barabara
bilioni 54
kero
kila siku
kongowe
kusimamia
mradi
rangi
siku
ujenziujenzi wa barabara
Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari na foleni za muda mrefu zinazosababisha hasara kubwa ya kifedha kila siku na kuchelewesha shughuli za kiuchumi.
Sababu kuu ya changamoto hii ni mfumo wa sasa wa miundombinu unaolazimisha mabasi mengi ya mikoani na...
Kafulila: Serikali Haiwezi Kujenga Kila Kitu, Sekta Binafsi Ipewe Nafasi.
==
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, amesema Serikali haiwezi kumudu kugharamia kila aina ya mradi nchini, hasa miradi ya kibiashara, wakati mahitaji ya...
Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
Miaka zaidi ya 100 iliyopita, Kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa ya maendeleo ya miundombinu Tanganyika.
Baadhi ya mipango ilikuwa tayari imeshakamilika. Kwa mfano, reli inayotumika hadi sasa kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma, yenye urefu wa takribani...
Heshima sana wanajamvi,
Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa.
Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia.
Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi...
Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga.
Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary.
Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
My Take
Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake.
------------
Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile.
Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
Huu ni usanii ambao hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuukubali.
Mchina(Heinan) kapewa tenda ujenzi wa barabara huko mkoani.
Kapewa na Advance Payment ya 10% ili aanza kazi.
Tunachojua wachimvi ni kwamba hiyo 10% wamegawana na watoa kazi, iwe ni waziri au hata TANROADS.
Haiwezekani kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.