Fundi Ujenzi, Plasta

Fundi Ujenzi, Plasta

cecane

Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
42
Reaction score
17
Habari wanna jukwaa. Asanteni kwa muda wenu.
Nipo Goba, Dar es Salaam.

Nahitaji fundi Ujenzi mwenye uzoefu mzuri wa kujenga fence ndefu katika ardhi ya Dar es Salaam.

Pia nahitaji fundi mzuri wa plasta mwenye uzoefu wa kunyoosha kuta za majengo marefu kwenda juu.

Unaweza kunicheki inbox tafadhali kwaajili ya mawasiliano zaidi.

Asanteni sana.
 
Kuna namna haupo smart kwa mafundi wako.
Anyway usijedondokea kwa madalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom