ujasiriamali

  1. Uhakika Bro

    Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil

    Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...
  2. Equation x

    Ujasiriamali unahitaji uvumilivu mkubwa

    Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo changamoto za biashara uanza; unakuta umewekeza mtaji labda...
  3. H

    Nahitaji kuanza biashara ya kutengeneza vyombo vya udongo

    Wana JF, Nahitaji kuanzisha ujasiriamali wa kutengeneza vyombo vya dongo, Anayefahamu supplier wa marighafi kama kaolini clay au ball clay anisaidie ikiwa kuna anaehitaji kushirikiana au wazo chochote nitakushukuru
  4. Meneja Wa Makampuni

    Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  5. R

    Nashauri Serikali ifanye haya ili wajasiriamali waweze kukua

    Napenda kuongelea kuhusu ujasiriamali kwasababu wajasiriamali wamekuwa wengi na Mimi nikiwemo kila mtu anatamani kuinuka kutoka pale alipo kwamfano mtu mwenye mtaji mdogo Kama 50,000 anakuwa anatamani mtaji wake ukue kutokana na kile anachokifanya, lazini kutokana na changamoto mbalimbali...
  6. F

    SoC02 Ujasiriamali ni njia ya kujikwamua na umaskini kwa kutumia mtaji mdogo

    Unaweza kujikwamua au kujiajiri katika ujasiriamali kwa kutumia mtaji kidogo lakini kwq manufaa makubwa Mfano: Mimi nina bachelor ya masuala ya jinsia katika maendeleo ila bado sijapata ajira serikalini isipokuwa nimejiajiri katika shughuli za uuzaji uji kwa mtaji wa shilingi elf 70000/= kwa...
  7. Tape measure

    SoC02 Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza Ujasiriamali

    Watu wengi sana wanatamani kufanya ujasiriamali kwa malengo tofauti tofauti ikiwemo kuwa na uhuru wa muda na kuongeza kipato, hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye ajira hupendelea kukusanya mtaji ama kwenda kukopa kwenye taasisi za fedha kwa malengo ya ujasiriamali. Changamoto ni kwamba zaidi...
  8. mwanamwana

    AfDB kuanzisha Benki ya Ujasiriamali nchini Tanzania

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inafikiria kuanzisha Benki ya Maendeleo itakayokidhi mahsusi mahitaji ya ufadhili wa wafanyabiashara wadogo na wa kati (MSMEs) nchini Tanzania. Benki ya AfDB, ambayo imekuwa ikisaidia ukuaji wa makampuni makubwa ya kibiashara ya Tanzania kwa njia mbalimbali...
  9. Abdul Ghafur

    Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

    Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
  10. Uhakika Bro

    Ujasiriamali: Wazo lako la uchumi imara wa nyumbani :Self sufficient home based business idea

    Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi. Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
  11. L

    China iliweza kuondokana na kasumba ya kuajiriwa kwa kuweka mazingira mazuri ya ujasiriamali

    Fadhili Mpunji Changamoto ya ajira kwa vijana katika nchi nyingi za Afrika ni jambo ambalo linazungumzwa sana na wanasiasa na watunga sera. Karibu kila nchi ya Afrika ina tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana, tofauti ni kwamba ukubwa wa tatizo hilo unatofautiana kwa kila nchi, na kila nchi...
  12. Tanzanite Digital Agency

    Huhitaji Boss Wala Ofisi Kutengeneza Milioni Kwa Mwezi (Be Your Own Boss Working From Anywhere)

    Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi! Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making. Nimeona wengi wakicomment kwenye threads zangu kuhusiana namna ninavyochukulia easy kupata pesa...
  13. M

    Nahitaji vitabu vya ujasiriamali au uchumi

    Kama kichwa kinavyojieleza napenda sana kisoma vitabu vya ujasiliamali au uchumi mwenye navyo anisaidie
  14. Keynez

    Suluhisho la kudumu la Machinga ni kuifumua dhana nzima ya Ujasiriamali na Kujiajiri

    Moja ya kosa kubwa ambalo limefanyika kwa muda mrefu toka dhana ya Ujasiriamali ianze kupigiwa chapuo, ni kusahau na kushindwa kuambatanisha dhana hiyo na elimu ya uwajibikaji kwa jamii, sera madhubuti za uwezeshaji kwa wafanyabiashara wa kati na elimu ya maadili ya biashara (business ethics)...
  15. UnipromoTech Tanzania

    Mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu 2021

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anawatangazia wahitimu wote wa elimu ya juu kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeandaa mafunzo ya ujasiriamali yatakayotolewa katika mikoa kumi na moja ya Tanzania (Tanzania Bara na Zanzibar) mwezi Oktoba na Novemba mwaka 2021. Mafunzo haya...
  16. Makirita Amani

    SoC01 Hivi ndivyo tunavyoweza kuwasaidia wahitimu kuingia kwenye ujasiriamali

    Rafiki yangu mpendwa, Ule ushauri maarufu kabisa wa nenda shule, soma kwa bidii, faulu vizuri na utapata kazi ya uhahika, inayolipa vizuri na kukuwezesha kuwa na maisha mazuri, haufanyi tena kazi. Wengi wamefuata ushauri huo, wakasoma kwa bidii katika ngazi zote za elimu, wakapata ufaulu...
  17. wakale kwanza

    SoC01 Mustakabali wa Elimu ya Tanzania na uhusiano wake kwenye masomo ya Ujasiriamali

    MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali. Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
  18. B

    USHAURI: Achana na fahari ya Vyeti vya Elimu, jikite kutafuta Ujuzi

    Naanza mada hii kwa kujadili hatua mbalimbali, ingawaje hatua moja inaweza isiwe na umuhimu kwa mwingine lakini ikawa chachu ya kujitathimini hatua uliyopo. Wakati Upo Chuo. Kwa sie masikini hatua hii ni muhimu sana katika kuandaa maisha yetu ya mtaani baada kumaliza chuo. Ukichanga karata...
  19. B

    Ushauri: Somo la Ujasiriamali liongezwe katika Mitaala ya viwango vyote vya Elimu

    Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu mafunzo mbalimbali waweze kukabiliana na hali ya maisha watakayokutana nayo bila kutegemea ajira kama...
  20. C

    SoC01 Fanya yafuatayo kwa mwanao kukabiliana na ukosefu wa ajira

    Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira. Yafuatayo tunapaswa kufanya kwa kipindi hiki ili kuwajenga watoto wetu kuepuka janga la wasiokuwa na ajira baadaye: (1)...
Back
Top Bottom