Huhitaji Boss Wala Ofisi Kutengeneza Milioni Kwa Mwezi (Be Your Own Boss Working From Anywhere)

Oct 19, 2020
75
232
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi!

Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making. Nimeona wengi wakicomment kwenye threads zangu kuhusiana namna ninavyochukulia easy kupata pesa online, wengine wakidai haiwezekani kabsa maana ni utapeli na ni ngumu kupokea pesa. Ila siwezi kuwalaumu maana sio kila mtu atakubaliana na hoja au mabadiliko yanayoendelea duniani.

Kwa kizazi cha sasahivi Information is the best thing kama kijana na information sahihi utaweza kuiona dunia kwa jicho ambalo wengi ni ngumu kulifungua. Na information imekuwa rahisi sana kupatikana, lakini kutokana na kuwa na information nyingi sasa imetufanya vijana kuchukua information amabayo itafurahisha ubongo wetu bila kuangalia reality.

Just imagine mwaka 2005 ugumu uliokuwepo kuanzisha biashara kama ilivyo sasa . mfanao, sasahivi ukiwa na internet connection, smartphone, account ya Facebook, instagram au Youtube unaweza kuanzisha biashara kubwa ya utangazaji, au huna duka na unahitaji kuuza bidhaa zako.. unachohitaji ni account yako ya instagram au Facebook na kuanza kutangaza biashara yako bila any upfront unnecessary costs. Kuna biashara nyingi ambazo kama kijana ukiwa na information sahihi utaweza kufanya makubwa na hutahitaji kuwa na boss wala ofisi.

Tatizo linakuja kwetu waTz (sio wote), Wakati tunaanzisha biashara mitandaoni tumekuwa tukiji limit sana kuuza service au bidhaa zetu nje ya mipaka. Hapo sidhani kama tunaitendea haki maana sahihi ya internet. Milioni moja kwa mwezi ni sawa na dola mia nne na thelasini na nne ($434) kwa wakati naandika hii thread. Kama unauza service ya $50 ni sawa na kuwauzia clients 9 tu ndani ya mwezi mmoja.

Yeah it sounds easy like that! Lakini i promise you ukiwa na information sahihi ya kuuza service au bidhaa gani na namna ya kuwapata hao wa kununua hiyo service yako utaweza kutengeneza hata zaidi ya hiyo milioni moja.

In bullet points, baadhi ya service ambazo unaweza kujifunza na ukaweza ku-earn hiyo amount of money na zaidi ni kama hizi:

  • Social media marketing
  • Content Marketing/Writing
  • Graphic Designing
  • Video Editing
  • Social Video Marketing
  • Social media management

A Small Piece Of Advice: - Vijana wengi tumekuwa na media hype hasa kutoka kwa motivational speakers ya jinsi unavyoweza ku-make money quick and get rich fast, lakini tunasahau taarifa muhimu (hidden messages) kutoka katika jumbe wanazotoa. Inahitaji discipline, smart and hard work to get to a point to be successful with a passive income.

kama utafuata ushauri wa mtu au mzazi wako kwasababu kazi fulani inalipa vizuri, basi kama hujafika mbali naomba uachane nao. If you want to build a steady income and survive as a freelancer or business owner, choose to do work that you’re passionate about, work that gets you excited every day, and work that challenges you to learn something new every day.
 
So many people wanashindwa tofautisha mishe za mbio fupi na mbio ndefu.

Social Media / Graphics / Content Creation sio kitu cha overnight. As u wait u need something kupata hela za kula i.e. Uber , Ajira , Udalali , Kuuza Na Kununua Small Items. Hivyo Yani

Maghetto Magumu, Naona Vijana Wengi Wana Data Mtu Anagonga 33 years hata kiwanja hana kazi nazo hakuna matarajio ya ndoa nayo hana.

Ingia mtaani acha aibu....its ur life, u owe nobody shiit. Nenda Kkoo, Mlimani City, Ilala, Kinondoni Check Madogo Walivyojikataa Wanatafta Hela. Yes wapo watu wana earn hadi 3 M kwa mwezi mtaani kwa udalali tu.

Best Of Luck
 
Elezea ni namna gani mtu ataingiza hiyo M kwa undani hii ya kusema eti video editing social media contents writing haitoshi.
 
So many people wanashindwa tofautisha mishe za mbio fupi na mbio ndefu.

Social Media / Graphics / Content Creation sio kitu cha overnight. As u wait u need something kupata hela za kula i.e. Uber , Ajira , Udalali , Kuuza Na Kununua Small Items. Hivyo Yani

Maghetto Magumu, Naona Vijana Wengi Wana Data Mtu Anagonga 33 years hata kiwanja hana kazi nazo hakuna matarajio ya ndoa nayo hana.

Ingia mtaani acha aibu....its ur life, u owe nobody shiit. Nenda Kkoo, Mlimani City, Ilala, Kinondoni Check Madogo Walivyojikataa Wanatafta Hela. Yes wapo watu wana earn hadi 3 M kwa mwezi mtaani kwa udalali tu.

Best Of Luck
Point

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
yaan ni kweli kabisa mi nilianza kidogo sana tena kwa kutangaza vitu kutoka kwenye maduka ya watu ukiitaji nakununulia nakuuzia ila now naagiza mwenyeye, vijana tuache uvivu tupambane
 
Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi!

Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making. Nimeona wengi wakicomment kwenye threads zangu kuhusiana namna ninavyochukulia easy kupata pesa online, wengine wakidai haiwezekani kabsa maana ni utapeli na ni ngumu kupokea pesa. Ila siwezi kuwalaumu maana sio kila mtu atakubaliana na hoja au mabadiliko yanayoendelea duniani.

Kwa kizazi cha sasahivi Information is the best thing kama kijana na information sahihi utaweza kuiona dunia kwa jicho ambalo wengi ni ngumu kulifungua. Na information imekuwa rahisi sana kupatikana, lakini kutokana na kuwa na information nyingi sasa imetufanya vijana kuchukua information amabayo itafurahisha ubongo wetu bila kuangalia reality.

Just imagine mwaka 2005 ugumu uliokuwepo kuanzisha biashara kama ilivyo sasa . mfanao, sasahivi ukiwa na internet connection, smartphone, account ya Facebook, instagram au Youtube unaweza kuanzisha biashara kubwa ya utangazaji, au huna duka na unahitaji kuuza bidhaa zako.. unachohitaji ni account yako ya instagram au Facebook na kuanza kutangaza biashara yako bila any upfront unnecessary costs. Kuna biashara nyingi ambazo kama kijana ukiwa na information sahihi utaweza kufanya makubwa na hutahitaji kuwa na boss wala ofisi.

Tatizo linakuja kwetu waTz (sio wote), Wakati tunaanzisha biashara mitandaoni tumekuwa tukiji limit sana kuuza service au bidhaa zetu nje ya mipaka. Hapo sidhani kama tunaitendea haki maana sahihi ya internet. Milioni moja kwa mwezi ni sawa na dola mia nne na thelasini na nne ($434) kwa wakati naandika hii thread. Kama unauza service ya $50 ni sawa na kuwauzia clients 9 tu ndani ya mwezi mmoja.

Yeah it sounds easy like that! Lakini i promise you ukiwa na information sahihi ya kuuza service au bidhaa gani na namna ya kuwapata hao wa kununua hiyo service yako utaweza kutengeneza hata zaidi ya hiyo milioni moja.

In bullet points, baadhi ya service ambazo unaweza kujifunza na ukaweza ku-earn hiyo amount of money na zaidi ni kama hizi:

  • Social media marketing
  • Content Marketing/Writing
  • Graphic Designing
  • Video Editing
  • Social Video Marketing
  • Social media management

A Small Piece Of Advice: - Vijana wengi tumekuwa na media hype hasa kutoka kwa motivational speakers ya jinsi unavyoweza ku-make money quick and get rich fast, lakini tunasahau taarifa muhimu (hidden messages) kutoka katika jumbe wanazotoa. Inahitaji discipline, smart and hard work to get to a point to be successful with a passive income.

kama utafuata ushauri wa mtu au mzazi wako kwasababu kazi fulani inalipa vizuri, basi kama hujafika mbali naomba uachane nao. If you want to build a steady income and survive as a freelancer or business owner, choose to do work that you’re passionate about, work that gets you excited every day, and work that challenges you to learn something new every day.
biashara za kitapeli hizo
 
Fucken

Similar Discussions

Back
Top Bottom