Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato.
Voltage: 110V/220V 50/60hz
Power: 1.6KW
Size: 525 x 490 x 640mm
Weight: 65kg
Cylinder : 5L
Cylinder Size: 22 x 10.5cm
Capacity: 20L/h
Machine ina uwezo wa kuzalisha mpaka lita 20 kwa saa,unaweza pia ukaweka...
Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha:
Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni:
1. Miongozo ya...
Coronavirus limekuwa ni janga kubwa la kijamii. Lakini, kwa bahati mbaya, sio janga pekee la kijamii ambalo dunia inalikabili kwa mwaka huu 2020.
Mabadiliko ya hali ya hewa.
Kuongezeka kwa 'gap' la walionacho na wasionacho.
Ongezeko kubwa la watu.
Mgawanyo usio sawa wa matumizi ya rasilimali...
Kuanzisha na kukuza biashara ni ndoto na malengo ya kila mjasiriamali, lakini mara nyingine ni vigumu sana kupata mawazo ya namna ya kutoka ngazi moja kwenda nyingine. Biashara nyingi ndogo ndogo huwa zinaanzishwa lakini zinakwama, hazikui na pengine zinakufa kabisa. Ndiposa nimefikiri ni...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa onyo kwa wajasiliamali watakaokaidi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali wasije wakalalamika kufuatia hatua zitakazochukuliwa na Serikali wakati wa kufanya msako wa vitambulisho hivyo kwani watakuwa wamekiuka agizo halali la Serikali.
Mwanri ametoa...
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
Rafiki yangu mpendwa,
Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao.
Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
E-commerce itaenda kuwa mustakabali wa ulimwengu wa biashara na siku zijazo uwezekano wa biashara hii kuwa chini ya kampuni ya Amazon ni kubwa Kutokana na ukubwa wa biashara hiyo ya Amazon, ambayo hurahisisha na kusaidia ufikishwaji wa mizigo mbalimbali kupitia mtandao. Kuanzisha biashara kama...
fursa.
natafuta kijana umri miaka 18 - 30. Awe anajua kushona na kudesign nguo kwa cherehani.
Nataka kuingia ubia wa kufanya kaz pamoja.
Mtu yuko interested anifwate inbox.
Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali.
Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa.
Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
Mimi ni kijana wa miaka 16 ndo nimemaliza elimu ya kidato cha nne ndio nasubiri matokeo hapo mwezi January,lakini wakati nasubiri matokeo nilwapa wazo wenzangu la kufungua Eatery,sasa shda inakuja ni jinsi gani haswa tutafanya promotion on our eatery and products cause ndo tunataka tuanze tu,na...
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo.
Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc.
Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.