Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa βMarafiki wa Taiwanβ uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo ni ukiukaji wa wazi wa kanuni ya China moja na uingiliaji wa ndani wa mambo ya China, na kwamba...