uingereza

  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Nyambizi ya Kinyuklia ya Russia yashtukiwa pwani ya Uingereza

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧 Saa chache zilipita Ndege ya kusaka Nyambizi ya Uingereza (RAF Poseidon P8 anti-submarine) imeigundua Nyambizi ya Ki nyuklia ya Russia ikiwa katika pwani yake na kuzua hofu na kuitisha kikao Cha dharura. Ikumbukwe Nyambizi zingine za Urusi zipo Cuba 60 km toka Pwani...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, tutarajie Canal+ Kuanza Kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza hivi karibuni?

    Je, wataanza kuonesha Ligi Kuu ya Uingereza na au Ulaya hata kwenye nchi za Commonwealth? Kwa mujibu wa Mtandao wa Mtandao wa SP ni kwamba Mmiliki wa SuperSport, Multichoice, amekubali ombi la ununuzi la Canal+ ununuzi wenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 2.9. na kwamba Kampuni hiyo kubwa...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yawafutia hati za kusafiria wanaharakati 6 wa kidemokrasia waliokimbilia Uingereza, yaahidi kuwafuatilia maisha yao yote

    Aliyekuwa mbunge na mwanaharakati wa demokrasia Nathan Law ni miongoni mwa watu sita ambao pasipoti zao za Hong Kong zimefutwa na serikali. Serikali ya Hong Kong leo Jumatano, Juni 12, 2024 imesema kwamba imefuta hati za kusafiria za wanaharakati sita wa kidemokrasia walioikimbilia Uingereza...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Maafisa Ubashiri tunaomba pia Rais ukienda Uingereza usitusahau

    Tunampongeza sana Samia kwa kwenda na wenzie huko Korea. Itakuza sana uigizaji katika nchi yetu. Tumeona boda boda nao wameomba akienda India aende nao ili wakajifunze namna bora ya kuendesha boda boda. Nasisi maafisa ubashiri (Betting Officers) tunaomba sana akipata nafasi ya kwenda England...
  5. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

    MSAADA TUTANI: OMBI LA KUWASILIANA NA WATOTO WALIOPO UINGEREZA KWA ZAIDI YA MIAKA 22 SASA. Picha za awali za wahusika wa waraka huu ikiwa ni pamoja na watoto Amina na Seleman Kichawela na Bw. Mahmud Hassan Mihile aliyewachukua miaka 22 iliyopita ili kuwasaidia masomo huko Uingereza. Kutokana...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

    MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA 2018: Manchester City 🏆 2019: Manchester City 🏆 2020: Liverpool 🏆 2021: Manchester City 🏆 2022: Manchester City 🏆 2023: Manchester City 🏆 2024: Manchester City 🏆 Akiwa Barcelona alishinda La Liga mara 3 mfululizo kukawa na kelele za waingereza...
  7. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kuna huyu bwana anazungumzia kuuza fenesi Uingereza. Tumjibu au tumuache?

    wakuu,
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mwombaji hifadhi wa kwanza apelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Apewa Pauni 3,000 (Tsh milioni 9.6)

    Mwombaji wa kwanza wa hifadhi amepelekwa Rwanda baada ya kukubali kwa hiari kuondoka Uingereza. Mtu huyo ambaye hajatajwa jina amekwenda Kigali baada ya kupewa pauni 3,000 ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa kuwalipa kila muomba hifadhi nchini humo atakayekubali kwenda Rwanda chini ya mpango wa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa likimiliki mzigo mkubwa wa silaha za nyuklia na nyinginezo nzito, ilikuwa taifa la tatu duniani kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Programme Meneja -Ubalozi wa Uingereza Mshahara 5.5M kwa Mwezi

    Job Category 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Subcategory 1 Foreign, Commonwealth and Development Office (Programme Roles) Job Description (Roles and Responsibilities) 1 Main purpose of job: BHC Tanzania is looking for a programme manager to work within the...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China yapinga na kulaani vikali Uingereza kuingilia mambo yake ya ndani

    Hivi karibuni, China ilipinga vikali ziara zilizofanywa na ujumbe wa “Marafiki wa Taiwan” uliojumuisha baadhi ya wabunge wa Chama cha Leba cha Uingereza kisiwani Taiwan. China imesema, ziara hiyo ni ukiukaji wa wazi wa kanuni ya China moja na uingiliaji wa ndani wa mambo ya China, na kwamba...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili. 2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo. 3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi: 4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana: 5...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza nchini Kenya walazimishwa kufanya Mapenzi bila kinga

    Maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Uingereza wameshtakiwa kwa kuwakaribisha wanajeshi wapya kutoka Uingereza waliotumwa katika kituo cha kijeshi cha Nanyuki nchini Kenya kwa kuwalazimisha kufanya ngono bila kinga nchini humo. Kutokana na ripoti iliyoandaliwa na jarida la Afya ya Kijeshi la...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uingereza zasaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP)

    SERIKALI ya Tanzania na Uingereza zimesaini Makubaliano ya Kukuza Ushirikiano (Mutual Prosperity Partnership - MPP) yanayolenga kuchochea maendeleo katika sekta za kiuchumi zikijumuisha uwekezaji, biashara na miundombinu. Makubaliano hayo yameshuhudiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi

    Wanaukumbi. Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi. Angalia pasipoti zao. Adui wakubwa wa Israeli ni wasema ukweli. Hivi ni vita dhidi ya Hamas wanasema bahati nzuri wanauwana wao kwao ambao wanajiona wana haki ya kuishi tofauti na...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Specialist wa Russia walichambua kombora la Uingereza - Storm Shadow

    Kombora la Storm Shadow linalotumiwa na Ukraine Kushambulia Russia, hatimaye limedakwa zimazima Sasa lipo maabara likichambuliwa kama samaki,, hapo ndio kwisha habari yake kama HIMARS Russia akishalisoma analitengenezea jamming yake ukilituma analirudisha lilikotoka nakulipua. Russian...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mika: Mwimbaji wa wimbo wa Relax

    Ni Alhamisi Magaidi watatu walijitoa mhanga kwa kujilipua mabomu matatu ya kujitengenezea wenyewe wakiwa ndani ya treni za chini ya ardhi katika Jiji la London huko Uingereza. Baadaye, gaidi wa nne alilipua bomu lingine kwenye basi lililokuwa Makutano ya Tavistock Square. Katika mashambulizi...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuwalipa wakimbizi takribani Tsh. Milioni 9 kila mmoja ili wakubali kuhamia Rwanda

    The British government is planning to pay asylum seekers up to £3,000 ($3,836) each to move to Rwanda under a voluntary plan to help clear the backlog of refugees who have had their applications to remain in the country rejected. The new agreement with Rwanda is separate from the government's...
Back
Top Bottom