uingereza

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uingereza lataka kuifufua K. A.R.

    Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya, Tanzania,Msumbiji, South Africa. So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet ...
  2. BigBro

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kocha Sven-Goran Eriksson amefariki Dunia

    Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari mwaka huu. Mswidi huyu alikuwa kocha wa kwanza wa kigeni kuinoa timu ya taifa ya England. Aliongoza...
  3. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu familia ya The Imafidon yenye asili ya Nigeria iishiyo Uingereza.. Ni familia smart kichwani kuliko muingereza yeyote

    The Imafidons are a Nigerian family of 7 living in England. Their father is Chris Imafidon and their mother is Ann Imafidon. Both parents are from Edo state who emigrated to England more than 30 years ago. They have 5 very intelligent children between them. The family has achieved exceptional...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa Tahadhari ya Usalama kwa Raia wake waishio Uingereza kufuatia wimbi la Maandamano na Vurugu za kwa wageni (Xenophobia)

    BBC Wamekausha kana kwamba hakuna kitu linaendelea wakati Uingereza imekumbwa na maandamano makubwa ya kibaguzi ambayo yameambatana na uharibifu wa Mali. Waziri wao Mkuu amekuwa akijiknyaga kanyaga na kutoa vitisho Kwa Waandamanaji huku vurugu Kwa wageni zikizidi kushika Kasi. Pia soma...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Picha ya Marais Biden au Putin au Kagame au Waziri Mkuu wa Uingereza wakijipiga 'Selfies' katika Shughuli za Kikazi aniwekee hapa

    Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Machafuko Uingereza yaongezeka, Raia waonywa

    kufuatia kuchafuka kwa nchi ya Uingereza kwa vurugu za kibaguzi ambazo zimewalenga waafrika na waislamu kwa kias kikubwa, Mataifa kadhaa yameonya raia wake baada ya wafanya ghasia kulenga miaikiti baada ya shambulio la visu kusababisha vifo vya watoto wadogo wakike. Baadhi ya nchi zilizo toa...
  10. Alibino

    JamiiForums Tanzania Mtanzania hatarini kuuwawa huko Uingereza

    Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania Martina Farrall, akielezea maisha yake kuwa hatarini huko anapoishi Ireland ya Kaskazini. Kwenye...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waandamanaji washambulia Hoteli za waomba hifadhi

    Vurugu hizi ni kufuatia Shambulio la Visu katika Darasa la Dansi huko Southport lililosababisha Vifo vya Wasichana Watatu wadogo, huku kadhaa wakijeruhiwa. Kulingana na Polisi, uvumi wa uongo ulienezwa Mtandaoni kwamba Mshukiwa katika shambulio hilo alikuwa mhamiaji Mwislamu. Hata hivyo...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wazungu Uingereza wanapora vitu madukani. Hakuna tofauti na Afrika, njaa kali

    Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi nawafahamu kiasi wazungu ni binadamu kama wengine na ni wizi, waongo wanafiki angalia hiyo video ingekuwa...
  13. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Uingereza kunawaka Moto. Wenyeji wanapigana na Wahamiaji

    Wakuu hali si hali huko nchini Uingereza kwa mfalme Charles III, wananchi wenyeji wakiwa wamejihami kwa silaha mbali mbali wanatembea katika makundi makundi wakiwasaka wahamiaji na kuwatembezea kichapo. Hali ya machafuko tayari imeikumba miji ya Liverpool, Belfast, Southport, Bristol na...
  14. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana wa Kinyarwanda aliyechochea vurugu huko Uingereza kwa kuua watoto watatu

    Ni kijana wa miaka 17 Axel Muganwa Rudakubana aliyezaliwa Uingereza na wazazi wa kinyarwanda wakimbizi. Kijana huyo aliyesababisha vifo vya watoto wakike watatu na kuacha wengine 10 wakipigania maisha yao Hospitalini. Ameshtakiwa mashtaka matatu He is charged with three counts murder, 10 of...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, tunashuhudia kuanza kwa civil wars huko ulaya kwa vurugu hizi zinazoendele UK?

    Katika siku mbili hizi tumeshuhudia waingereza waliochoshwa na vitendo vya wahamiaji hasa hasa wale wa kiislam, kujichukulia sheria mkononi na kushambulia maeneo ya waislam. mfano walianzisha moto msikitini na kule Belfast Northern Ireland tumeshudia waprotestant na wakatoliki kuweka tofauti...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Kagame kupeleka wakimbizi wa Uingereza Rwanda wayeyuka

    Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party kupigwa teke kwenye uchaguzi. Chama cha Labour wamesema hawataendeleza mpango huo. Mipango ya kagame...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa Wikileaks Julian Assange aachiwa huru kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12

    Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana Assange alikuwa akikaa gerezani hapo akisubiri kupelekwa Marekani kujibu mashtaka ya ubakaji ambako...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania UK ELECTION: Suspicious accounts with Nigerian following being used to push pro-Reform UK content on TikTok

    As Rishi Sunak and Keir Starmer faced their first head-to-head debate of the election campaign, all eyes were on how they would perform. But cybersecurity experts at Cardiff University working with ITV News noticed a collection of accounts with "unusual behaviour" on TikTok pushing support for...
Back
Top Bottom