uingereza

  1. R

    JamiiForums Tanzania 'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

    Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kalameni kapigwa na mkewe Uingereza

    Mnaigeria kupigwa na bibi yake Uingereza
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama Kulivyo Kupotea kwa Utawala wa Kiayatollah Iran, ndivyo Inaelekea Kupotea kwa Ufalme wa Uingereza

    Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu). Ingawa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran imejaribu kushambulia kisiwa cha Diego-Garcia kwenye Kambi za Marekani na Uingereza

    Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa kadhaa wa Marekani waliambia The Wall Street Journal kwamba makombora hayo hayakugonga kambi hiyo...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japan zimesema zitachukua hatua stahiki kuhakikisha Usalama wa Strait of Hormuz

    Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Scotland yapitisha muswada bungeni wa kutaka kujiondoa kwenye muungano na Uingereza (United Kingdom)

    Chama cha Scottish National Party (SNP) kimepitisha azimio linalounga mkono uhuru wa Scotland, likiitaka Serikali ya United Kingdom kuanza maandalizi ya kujitoa kwa Scotland katika Muungano wa Uingereza. Chama cha SNP kimepitisha azimio linalotaka Serikali ya Uingereza ianze maandalizi ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mbali na spika, mbongo aishiye uingereza amchangia milioni 20 mwenye uvimbe shingoni; mchango wafikia mil. 30, bado mil. 10 tu

    "Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Uingereza na Kwengine

    https://youtu.be/O2f1eKISpy8?si=V5wnjV3iy7h25gH3
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaboresha mahusiano ya kidiplomasia na china

    Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia. Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa madini kati ya mfalme Lobengula na Serikali ya Uingereza ulivyoleta hekaheka nchini ufalme wa Matebele nchini Zimbabwe

    Wakuu, Mkataba wa Rudd ulikuwa makubaliano muhimu ya haki za madini yaliyosainiwa mnamo Oktoba 30, 1888, kati ya Mfalme Lobengula wa Matabeleland na mawakala waliomwakilisha mfalme wa kikoloni wa Uingereza, Cecil Rhodes. Hati hii ilikua msingi wa kisheria wa ukoloni wa Uingereza katika eneo...
  14. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuelekea ICC: Samia S. Hassan azidi kukabwa koo. THE SUN na THE TIMES magazeti ya Uingereza yaanika ushahidi mwingine mauaji ya 29/10 - 3/11/2025

    https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake

    Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania. Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania. Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa. Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kiislamu waandamana London wakidai kulinda jamii yao dhidi ya harakati za chama cha UKIP

    Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha huko Uingereza sasa hivi kuna mambo ya hovyo kabisa yanafanyika kinyume kabisa na desturi za watu...
Back
Top Bottom