Kalameni kapigwa na mkewe Uingereza

Kalameni kapigwa na mkewe Uingereza

fired

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
233
Reaction score
521
Mnaigeria kupigwa na bibi yake Uingereza


 
Ingekua Mwanaume ndio anampiga huyo Mwanamke,kila mtu angemsema vibaya huyo Mwanaume,hata wale wakutetea haki za Bibadamu wangetoa neno pia,

Cha ajabu hapa huyo Mwanamke anaweza kusifiwa!

Kama watu mmeshindwana si bora kuachana tu ili kila mtu aendelee na maisha yake.
 
Mbona wanaume wengi tu tunawapiga,kwani ni uingereza tu! Wanaume wa kisasa??
 
Nitapigwa na mke wangu pale nikiwa paralyzed.
 
Wanawake wa ki west africa sio kabisa, wengi wao ni mabondia .
 
Back
Top Bottom