uhusiano

  1. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Ukianza uhusiano na mwanamke anaekuadithia jinsi alivyohumuzwa na mahusiano na jinsi anavyoogopa kuumizwa

    Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
  2. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Trump kupiga Picha akiwa amevalia kama Papa wa Katoliki na Ujio wa Mpanga Kristo ile 666?

    Naomba kuelimishwa kwa sababu dalili zote zinaonyesha ule mwisho umekaribia Matendo ya Trump na Upapa wapi na wapi jamani? Nimeogopa sana
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Toa riziki kwa wengine ili kuimarisha uhusiano mzuri kiroho

    Hello jamiiforums Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana! Fanya haya ili kukuza biashara na kazi zako hakika kama unaamini katika Mungu na roho wa kweli utayaona mafanikio na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pasaka hii Ina uhusiano na ujenzi wa nchi ya Kidemokrasia ya Tanzania

    Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru. Tundu Lisu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa kwenye uhusiano na Mtu Mchoyo? Ilikuwaje?

    Tulikutana kwenye mkutano wa kikazi, na mara moja tukaclick. Alionekana mkarimu, mwenye malengo makubwa, na kila mara alinitia moyo kufuata ndoto zangu. Wiki za mwanzo zilikuwa tamu—zawadi ndogo ndogo, meseji za asubuhi na ahadi zisizoisha za maisha bora ya pamoja. Nilihisi niko na mtu sahihi...
  7. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Uhusiano mkubwa uliopo kati ya sand (mchanga), madini ya silicon, semiconductors,transistors, logic gates......michango mingine mpaka software

    Hatua kwa hatua, kama tunajenga kitu kutoka chini kabisa hadi kufikia programu tunazotumia kwenye simu au kompyuta zetu. Ikiwa ni rahisi kwako kupitia video unaweza tazama video hii fupi nimeeleza yote haya https://youtu.be/DL8XQ67ahYs?si=AtcH2rIs5xdWqE0s 1. Mchanga wa Madini (Sand...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM

    Mazungumzo ya Katibu mkuu UVCCM Ndg Jokate Urban Mwegelo (MNEC) na Ndg Emanuel Martine Mkuu wa Idara ya uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo Vikuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo @jokatemwegelo : Emanuel Martine hivi huu ni mkutano mkuu wa tawi la chuo cha Kampala au ni mkutano mkuu wa kitaifa...
  9. Sognsvann

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa Marekani wasababisha uhusiano kati yake na Afrika Kusini kuzorota

    Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha sheria mpya kuhusu ardhi, na hivi majuzi tu, Marekani ilimfukuza Balozi wa Afrika Kusini nchini...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano upi kati ya wakulya na biashara ya nyama ( Butcher)?

    Wakuu mtakuwa mashahidi kuanzia huko Daslam hadi huku mikoani kwenye biashara ya nyama au mabucha mengi wenye nayo ni wakurya. Leo nimeamua kuhitimisha research yangu katika mji mdogo wa Kakola ikiwa ndo senta kubwa ukanda huu wa kahama kaskazini kwani imezungukwa na migodi mingi midogo midogo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

    Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson Kishanda wakifuturu pamoja wakati wa hafla ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan kama sehemu ya kuoneshaa...
  13. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

    Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana. Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nyama tuliyochoma Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya. "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwa na akili nyingi za darasani na kuwa kiongozi bora!?

    Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa dalasani na pia wenye uwezo mdogo na hata uwezo wa kawaida tu dalasani lakini pia wakaongoza...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Trump aingiwa na ubaridi. Amtaka Zelensky amuombe radhi hadharani ili arudishe uhusiano na Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao wawili juzi kuzozana mbele ya Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Marekani (White House) kitendo...
  18. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari

    Hakunaga mwanamke anaecheat kwa bahati mbaya wote huwa wamedhamiria,thus ukimsamehe ataendelea tu kucheat kwa sababu wao utanguliza nyege mbele akili nyuma,wakishachika ukimbilia kwa mwamposa kukanyaga mafuta ya urejesho wa mume. Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wako na ndugu zako wa baba upo sawa ?

    Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu. Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana. What's your story?
Back
Top Bottom