Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,019
- 2,473
Nimeona tamko la Dk Hosea Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika.
Anatetea uhuru wa kujumuika hata baada ya Rais kutangaza hali ya hatari katika sekta ya uchumi na kwa sababu hiyo kusitisha kwa muda haki ya kujumuika katika mikutano ya hadhara.
Dk Hosea hajajipambanua vema. Hivo, napenda kumwuliza:
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi na Sheria ya Madaraka ya dharula, Rais wa Tanzania hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari kwenye sekta ya uchumi na kusitisha kwa muda haki ya kujumuika kwa sababu hiyo, kama Rais Samia alivyofanya 29 Machi 2021 siku alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari?
Siku hiyo alisema kuwa uchumi umeshuka kutoka GDP ya 6.9 hadi GDP ya 4.8 hivi