Tujikumbushe kesi dhidi ya Mwalimu Nyerere kabla ya Uhuru (wakati wa ukoloni).

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
11,346
2,000
Mwishoni mwa miaka ya 50 Mwalimu Nyerere alishitakiwa na wakoloni na akafikishwa mahakamani, siku za kusikilizwa kesi watanganyika walijaa nje ya mahakama kushuhudia tukio hilo muhimu la kiongozi wao kusurubiwa na mkoloni. Enzi hizo jeshi la polisi lilikuwa chini ya malkia wa uingereza na lilikuwa likipokea amri toka huko, cha ajabu hawakuonekana polisi wakipiga jalamba wala kuwabughuzi raia waliofika mahakamani! Hata Mwalimu aliposhinda kesi na alipotoka nje ya mahakama alibebwa mbele ya polisi waliokuwepo na hawakuwabughuzi wananchi hao licha ya enzi hizo kuwa za ubaguzi.
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
11,346
2,000
Kisutu pale watu wanachezea Rungu tu
Mkoloni pamoja na ngozi yake nyeupe lakini aliwaheshimu weusi kwa kumfariji mweusi mwenzao kwani kitendo hicho kisingeathiri utawala wa Malkia, hivi tenka moja au mawili ya mafuta yakilipuka yanaweza kuithiri vipi serikali!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom