Uhamiaji wametoa majina watakaofanya usaili

Uhamiaji wametoa majina watakaofanya usaili

IMG-20250109-WA0072.jpg
Watu wanasepa huko zenji mambo tayari kwenye Uhamiaji
 
Na pia tangazo linaPostiwa mitandao ya kijamii, pia linasambwaza kwenye vyombo vya habari. Pia majina ya usahili utolewa mwezi WA pili, na depo inaisha mwezi wa 10 mwanzoni.
Huoni hiyo post ni ya Feb 2024? Are faking blind?
 
Haya hapa majina ya walioitwa kwenye interview ya Uhamiaji Dodoma, PDF👇 2025. Usaili kufanyika tarehe 15 UDOM kwa waombaji wa Tanzania bara na ukumbi wa Dkt. Shein uliopo Tunguu kwa waombaji wa visiwani Zanzibar
 

Attachments

Back
Top Bottom