uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Umesema Hauna kampuni hata ya bajaji una uhakika? Vikimwagwa vielelezo usianze kulialia...

    Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Watanzania hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na Tozo

    Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo yanavyotumika. Hii ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA ambalo...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
  5. kunonu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  6. Rosh Hashannah

    JamiiForums Tanzania Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea. Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul za ovyo. Mkude haeleweki kama no. 6 au 8 yaani... Striker wapambane wamchukue Manzoki, hawa...
  7. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhakika wa vitendo: Filosofia itakayotufanikisha mtu mmojammoja ama kutufelisha wote kama Taifa

    ‘KURUTI!, UHAKIKA WA VITENDO!’ kwa sauti kali ya kuamrisha mara ya kwanza naisikia ilikuwa ni jeshini. Ilipenya na kueleweka haraka kwa sababu mbili; Mosi, kile nilichokijua tangu mwanzo kuhusu uhakika, nilipenda kulitumia kiingereza ‘sure’. Lakini sababu ya pili ipo wazi ni kuogopa adhabu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana limeni; masoko, mashamba ya uhakika yapo

    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Raha ya kuwa na tume huru ya uchaguzi hakuna mwenye uhakika wa kushinda watu wanamenyana kweli kweli

    Kuna wakati chakura ukila peke Yako hakinogi. Hata mji wenye watu wa kabila Moja Huwa Hauna maendeleo. Chama Cha siasa au nchi inayoogopa ushindani wa kweli, haiwezi kufikia mafanikio Kwa wakati, Kenya siasa imechangamka sana hakuna anayemuogopa mwenzake polisi hawaingilii siasa, wanawaaacha...
  10. masopakyindi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Namtakia Raila Odinga ushindi mwema na wa uhakika.

    Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni. Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho. Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya. Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba...
  11. N

    JamiiForums Tanzania CAF Super League: Simba SC uhakika, Yanga SC labda itokee miujiza

    Muundo wa CAF super league huu hapa wajameni, Southern and Eastern Africa zinaingiza timu 8 na kila nchi isitoe zaidi ya 3 ila inategemea klabu ina ubora gani kwenye rankings za CAF siyo kwa maneno maneeeenooo Kwa haraka haraka Kusini na Mashariki mwa Afrika TOP 8 TEAMS Mamelodi(6)...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  13. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Instagram na Facebook. Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka kwa anaefanya kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, pendekezo la kushushwa mshahara kwa waliotenguliwa nafasi litawahusu pia waliotenguliwa huko nyuma?

    Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali, basi na mshahara utenguliwe ili apate unaolingana na nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi. Kwa...
  15. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Sumatra(Ratra): Nina uhakika wameshindwa kazi(Daladala zinafanya zipendavyo,bei za nauli zimeshindikana)

    Haya ndiyo mambo yanayofanya wananchi wanaiona utofauti wa Marais. MAMLAKA mbalimbali za Serikali zinaifanya serikali ionekane haifanyi kazi yake. Watu wanapoona Kunapwaya ndipo huanza kumzungumzia mwendazake. Maskini ya Mungu wanaozorotesha kazi ni wapumbavu fulani pale Ratra. Haiwezekani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inalazimisha kupewa silaha utafikiri ni deni: Msaada ukikawia inatukana!! Hawa ni manazi wa uhakika!

    Ukraine imeikashifu sana ujerumani. Kisa ni kwamba ukraine iliiomba ujerumani msaada wa silaha nzito za kurusha makombora lakini mpaka sasa ujerumani haijatekeleza japo milikubali. Sasa ukraine wanaikejeli ujerumani kuwa wanapeleka makombora ukraine kwa usafiri kama wa konokono!! Ujerumani...
  17. P

    JamiiForums Tanzania 2025, Tutawauliza, mlituahidi nini na Je,mmetekeleza.? Watajibu kwa uhakika, ni ndiyo, tulimnanga na kuusema kwa nguvu zote utawala wa JPM

    Sio wabunge na mawaziri, Bali hadi wasomi na Maprof wetu wote, kazi yao sasa si kushighuka kutatua matatizo yetu kama nchi! Kazi yao kubwa ni kuunanga utawala wa miaka mitano iliyopita na kumsema kwa kejeli na dharau nyingi Hayati JPM ambaye sasa haishi katika ulimwengu huu tulionao, Je...
  18. Etwege

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia atashinda kwa kishindo urais 2025

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf Prof Lipumba alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara mkoani Tabora amemhakikishia Rais Samia kuwa uchaguzi mkuu ujao wa 2025 atashinda kwa kishindo na wapinzani wanaojaribu kumpinga wanapoteza muda tu wao kwani watanzania wanamwelewa mno kwa...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote. Lengo lilikuwa ni...
  20. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
Back
Top Bottom