Kenya 2022 Namtakia Raila Odinga ushindi mwema na wa uhakika.

Kenya 2022 General Election

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.

Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba wakenya, kama sisi Tanzania tulivyo ondoa matatizo ya ukabila.

Ruto ana kaharufu kasiko faa.
Tuhuma za corruption, wizi , uuaji , hazimbebi kuongoza Taifa la Kenya.
 
Ruto ndie rais ajaye wa Kenya. Ruto ni intelligent, makini, charismatic na ambitious. Ruto atawainiua wakenya wengi kiuchumi. Ni mcha Mungu mpole Hana visasi na mtaratibu. He is simply presidential material.

Ruto atashinda asubuhi na mapema believe me. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe rais.

Namuomvea Ruto ashinde
 
Kote umeandika vizuri ila unapomhusisha Mungu na uchaguzi wa raisi sio sahihi uchaguzi ni wa watu wa Kenya sio wa Mungu. Swala la kuchagua Mungu ameacha mwanadamu mwenyewe achague. Acha kuvuka mipaka
 
Inawezekana yeyote kati yao kushinda. Raila Odinga au William Ruto.

Yeyoye kati yao atuhakikishie usalama na ushirikiano.

...inawezekana ubashiri huu ukawa kweli.
 
Ruto ndie rais ajaye wa Kenya. Ruto ni intelligent, makini, charismatic na ambitious. Ruto atawainiua wakenya wengi kiuchumi. Ni mcha Mungu mpole Hana visasi na mtaratibu. He is simply presidential material.

Ruto atashinda asubuhi na mapema believe me. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe rais.

Namuomvea Ruto ashinde
Ruti has blood on his hands.
 
Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.

Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba wakenya, kama sisi Tanzania tulivyo ondoa matatizo ya ukabila.

Ruto ana kaharufu kasiko faa.
Tuhuma za corruption, wizi , uuaji , hazimbebi kuongoza Taifa la Kenya.
Let them kill and burn themselves.

I don't wish well for these bastard.
 
Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni.
Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho.

Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya.
Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba wakenya, kama sisi Tanzania tulivyo ondoa matatizo ya ukabila.

Ruto ana kaharufu kasiko faa.
Tuhuma za corruption, wizi , uuaji , hazimbebi kuongoza Taifa la Kenya.
Kila la kheri Laila Odinga

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom