uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu. Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Ndugu Polepole ana kesi ya uchochezi labda na Uhaini pia

    Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030. Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  5. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuvunja katiba za chama na nchi kwa kuvuruga utaratibu au kuiba kura ni uhaini na ukuwa unajaribu kuzuia uchaguzi

    Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama. Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
  7. JamiiForums Tanzania James Mbatia: Uhaini wa mwisho nchini kufanyika ilikuwa jaribio la kumpindua mwalimu nyerere

    MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, amevunja ukimya baada ya kusema kuwa anashangazwa na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Antipas Lissu. “Upinzani wa fikra sio uadui. Kuwepo kwa mitazamo tofauti si kosa, bali ni utajiri wa mawazo unaopaswa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Trump amtuhumu Obama kwa Uhaini kushirikiana na Urusi Uchaguzi 2016

    Rais Donald Trump amemtuhumu Barack Obama kwa uhaini, akidai aliongoza njama ya kumhusisha na Urusi ili kuhujumu kampeni yake ya 2016, ingawa hakutoa ushahidi. Msemaji wa Obama alikana madai hayo na kuyaita ya kipuuzi na ya kupotosha Ripoti ya intelijensia ya Marekani ya 2017 ilibaini kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ,mlimkamata Lissu kisa neno "Tutakinukisha", kwanini hamkamati Zitto Kabwe kwa Uhaini na Uchochezi vurugu alioufanya hapa?

    Mods ,naomba msiiunganishe Huu Uzi !!. Jeshi la Polisi liache Uhuni na Uonevu dhidi ya CHADEMA na LISSU . Wakati Zitto Kabwe akiendeleza kufanya Islamic Radicalization Ndani ya Mikoa inayokaliwa na Idadi kubwa ya Waislam, Akiwachochea Kufa Kwa ajili ya kulinda Kura, Ni majuzi tu kanukuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh aongezwe kwenye rodha ya Mashahidi wa Jamhuri dhidi ya Lissu. Alisikia kwa masikio yake juu kukinukisha ili uhaini ufanyike

    Pamoja na kutoa baraka kwa vyombo vya dola kuwapoteza Watanzania ili amani iendelee kuwepo. Sheikh huyu amedai kuwa yeye alisikia kwa masikio yake Lissu akisema tutakinukisha. Amekazia kuwa Lissu alipelekwa Mahakamani ili akatoe tafsiri sahihi ya kukinukisha. Kwa mantiki hii na muktadha huu...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  13. JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  14. JamiiForums Tanzania Wanasheria Mnisaidie, Kwanini hii Kesi ya Uhaini Haikufunguliwa Mahakama Kuu, ikaja Kufunguliwa Mahakama Ya Kisutu

    Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza. Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali. Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana. Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi. Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Is it a prosecution or persecution?

    Baada ya kuisikiliza submission ya Mh. Tundu Lisu leo June 16, 2025, kwenye kesi yake ya uhaini nimeikumbuka barua maarufu kama "Letter from Birmingham Jail" ya 1963 Dr. Martin Luther King Jr.'s iliyosema "Injustice anywhere is a threat to justice everywhere," Ukiachilia mbali maelekezo ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  17. JamiiForums Tanzania Kumbe kupinga utekaji ni uchochezi na uhaini!?

    Sovereignity state for the freedom of people's imeamua kupambana na wananchi huru wanaopinga uvunjifu wa haki za binadamu. Nani asiyejua aliyemfunga Paka kengele,kengele imebana shingo ya Paka ,Sasa anatapatapa! Utekaji umeondoka na kisiwa Cha amani,hata wageni au watalii si salama Tena,kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Namba za wafuatiliaji wa Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kupitia YouTube zatikisa!

    Wakuu Kesi inayovuta hisia za wengi nchini imeendelea kupata mvuto mkubwa mtandaoni, huku idadi ya wafuatiliaji kupitia jukwaa la YouTube ikiongezeka kwa kasi isiyotarajiwa. Hizi ni baadhi ya Chaneli za YouTube zilirusha Live zoezi la Usikilizwaji wa kesi ya Tundu Lissu katika Mahakama ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hadhi ya Tanzania ilivyo, bado hatujafika mstari wa kushitakiana kwa kesi za "UHAINI", yaani "TREASON"

    Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo! Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halima Mdee: Kuchukulia kauli za Kisiasa kuwa ni uhaini basi wote tutakuwa Wahaini

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada. Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…