Mchaga hahusiki nayoMchaga mjanja
Hillary Shoo, Mmiliki wa Hill water.Mchaga hahusiki nayo
Sio kweli mfano dar kwa observation yale maeneo ya hali ya chini asilimia kubwa wanatumia uhai2024 uwe na ujasiri kama Hill water. Usiogope yoyote, weka mipango, tekeleza, sacrifice. Utatoboa
Acha ujuaji Kwa vitu ambavyo huvijuiHillary Shoo, Mmiliki wa Hill water.
So hill ni kifupi Cha Hillary.
Mpinge kwa hoja na sio na maneno matupuAcha ujuaji Kwa vitu ambavyo huvijui
Sawa.Happy new year boss.Acha ujuaji Kwa vitu ambavyo huvijui
😂 ila mbona kama afya ndio anakimbiza sanaHill water alipopatia ni style ya chupa portable
Uhai maji ya 500 lkn wanayaweka kwenye boti maana ile sio chupa tunabebaje?
Naona amehamia na kwny juice, energy drinks.Bado safari ni ndefu......I think Afya and uhai still dominate the market.
HIll Water has awesome packaging design,.. stylish, attractive and it makes easier to identify their brand.
Acha ujuaji Kwa vitu ambavyo huvijui
Kazungumzia hill, uhai na kilimanjaro.😂 ila mbona kama afya ndio anakimbiza sana
Hill ni dsm ila mikoan huko azam anakimbiza sanaKazungumzia hill, uhai na kilimanjaro.