BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 421
- 1,048
Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala.
Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia “Madem wa siku hizi hawana akili, wengi wao ni warembo lakini kichwani ziro”
Huyu jamaa sasa hivi anaelekea miaka 40, hajaoa nah ana demu wa kueleweka, alichelewa kuoa kwa kuwa alikuwa bize na mishe za biashara na masomo, lakini huu ni mwaka wa tano kila demu anayempata ni pasua kichwa.
Nilishamshauri kuwa huwezi kupata dem ambaye yuko perfect kwa kila kitu, hilo analijua lakini hata anaposhirikisha wenzake ambao hawajaoa au wengine ambao wameoa, matukio wanayomuelezea anakata tamaa ya kufunga ndoa.
Moja ya jambo analolalamikia ni kuwa wadada wengi kwanza hawana uwelewa wa kuwa na future, wanachowaza ni ku spend leo na hawajui kesho yao ipoje, wengine wao ni kuomba hela tu, wengine kukosa uaminifu.
Hiyo pointi ya mwisho ndiyo inamchosha zaidi, anasema anashuhudia wanawake wengi wake za watu wakiwa wanagongwa nje ya ndoa, wengi wao wanagongwa na ma ex wao, wengine wanagonjwa na masala wa mtaani tu.
Hilo jambo kiukweli hata mimi naliona na kuna muda naona kama tunakoelekea itafika hatua wanaume wataacha kuoa na watakuwa wakizalisha tu kisha wanalea watoto.
Kwa mwanaume yeyote uchungu mkubwa mkubwa mkubwa kuliko wote ni kugongewa mke au kubambikiwa mtoto, kwa sasa hio ndiyo michongo mingi.
Nisaidieni jamani, ni kweli asilimia kubwa ya wadada wa sasa hasa wale wa umri wa miaka 18 hadi 32 wengi wao ni PASUA KICHWA?