Habari za muda huu wakuu,
Naandika hapa nikiwa kijana mdogo(me), pre 20 yrs, nikiwa na heshima kubwa kwa wanajukwaa wote hasa wale walio na uelewa wa masuala ya afya.
Kwa siku kadhaa sasa nimekuwa nikiona damu nyekundu ang’avu wakati wa haja kubwa, hasa pale ninapojikamua chooni. Sina maumivu...