calitho
Member
- Feb 27, 2025
- 26
- 59
Habari wana jamii.
Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa gani. Alianza kwa kuugua tu kawaida alipoenda kupima afya akagundulika ana U.T.I na malaria. Baada ya tiba hali ilibadilika akapata upele mfano wa vipele vya tetekuwanga hali ikabadilika akawa ni mtu ambaye analia kwa kuugulia maumivu
Mabadiliko yakazidi kuwa makubwa mpaka sehemu za siri ambapo binti kwenye nyeti zake katokwa na mapele makubwa mfano wa yale mapele yanayopatikana ukiwa umenyoa nyeti kwa wembe kibaya zaidi nyama ya ndani ya uke imechomoza kutoka nje na anatokwa na maji mengi mfano ya jasho hayatoki kwa wingi kama period ila yanatoka kwa taratibu yeye mwenyewe anadai kusikia maumivu anayoyapata ni kama anaungua moto kwenye uke tumejaribu kumpeleka kituo cha afya wameshindwa kuutambua ni ugonjwa gani kwa sasa yupo zahanati japo mpaka sasa hatujui ni ugonjwa gani ana unasababishwa na nini na tiba yake ni ipi kwa yoyote mwenye kuufaham ugonjwa huu atupe mrejesho na muongozo wa matibabu ya binti huyu .
Asanteni.