1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu
2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali.
3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu
4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais.
Au...
HOMA ya ini ni ugonjwa unaoelezewa kuwa ni kuvimba kwa ini. Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini.
Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii tutaongelea kuhusu homa ya ini...
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo na nahisi kulikuwa na chembe za tatizo la akili toka nazaliwa ila sikujua mpaka nilivyotumia bangi...
Ugonjwa Wowote? Hii Mchanganyiko Asilia Inaweza Kukusaidia
Asali na mdalasini ni zawadi kutoka kwa Mungu ambazo zimekuwa zikitumika kwa maelfu ya miaka kutibu maradhi mbalimbali. Mchanganyiko huu wa asili una uwezo wa kupambana na bakteria, kuimarisha kinga ya mwili, na hata kuzuia magonjwa...
Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40
Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi.
Ukienda chumbani kwake lazima ukohoe au kuzima taa na kuwasha ili ajue kuna mtu anakuja
Alikuwa...
Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa!
Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically.
Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii.
Sasa je hii ni kawaida...
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.
Tukubaliane waanga wengi ni wao
Muhimbili...
Mtu kujisaidia ktk NDOO haja kubwa na kuihifadhi kwenye NDOO na kuishi nayo chumbani mwako kwa kipindi cha miezi sita ni ajabu.
Inawezekana huyu mtu Pua zake na macho yake havifanyi kazi ipasavyo kama watu wengine?
Naomba wataalamu wa afya za akili za binadamu mnisaidie kuelewa Jambo hili...
Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
Homa ya ini ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya Virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi Sugu! Virusi hivyo kitaalamu vinaitwa Hepatitis B Virus (HBV)
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini mfano Mate, au jasho! Watu...
Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
Wanaume wengi wanapopoteza nguvu za kiume hudhani ni tatizo dogo la kawaida au la kiumri, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi lina uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa ya moyo. Zaidi ya viungo hamsini vya mwili vinashirikiana ili kuhakikisha uume unasimama vizuri, hivyo ikitokea kiungo kimoja...
Kisukari na Nguvu za Kiume
Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
Habari wana jamii.
Nahitaji msaada wa ugonjwa ambao umempata binti ambaye ni mtoto wa rafiki yangu mwenye umri wa miaka 18.
Binti huyu ameugua ugonjwa ambao umeshindwa kutambulika ni ugonjwa gani. Alianza kwa kuugua tu kawaida alipoenda kupima afya akagundulika ana U.T.I na malaria. Baada ya...
Serikali kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini.
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe ameyasema hayo Agosti 4, 2025, mara baada...
Wakuu,
Kwanini China kila ugonjwa mbaya unaanziaga huko? Baada ya COVID sasa umekuja huu mwingine unaitwa Chikungunya na kuna watu 7,000 tayari wameathirika.
Mnaonaje China ikatengwa ili mambo yasiwe mengi?
==============================================
Zaidi ya kesi 7,000 za virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.