ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kubwa, kwa taifa kama hili ambalo ufisadi Papa ni janga la kitaifa. Hakuna mgombea urais au mwenza wake aliyesema atapambana na mafisadi

    Ufisadi ni kansa inayoyatafuna mataifa ya kiafrika ikiwemo Tanzania. Fikiria fedha zilizoibiwa kupitia Kagoda, Escrow na hata hizi anazotuhumiwa Angela Kiziga. Zisingibwa na wahuni wa CCM tungekuwa na maendeleo makubwa sana. Leo hii mgombea wa urais wa CCM yupo kimya juu ya mapambano ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndege ya Rais wa Zambia ilivyotumika kwenye ufisadi mkubwa wa kutisha

    Leo mjini Lusaka, Zambia kumekuwa na gumzo la aliyekuwa waziri wa mambo ya nje Mh Joe Malanji kupatikana na hatia za ufisadi mkubwa wakati wa utawala wa hayati Edgar Lungu. Kahukumiwa miaka minne jela. Walichofanya Malanji na wenzake ni kutafuna takribani USD 11,000,000 pesa za umma zilizokuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa sasa una originate 'juu' ndo mana ni ngumu kufahamu. BOT, Mwigulu, wana siri nzito

    Kiuhalisia Ufisadi huu wa Leo unaoibuliwa na Mange Kimambi, Kuna uwezekano Mkubwa chimbuko lake ni Ikulu, na wahusika wa Karibu ni Waziri wa fedha na Governor wa BOT, na Kwa kiasi kikubwa Wafanyabiashara wakubwa wanahusika Kwa kukwepa Kodi kupitia Ikulu na vyombo vyake, mtu kama GSM ana tabia ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matusi mazito mitandaoni, ni matokeo ya chuki chanzo kikiwa ni uonevu, mauji, utekaji, ufisadi, ukandamizaji

    Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo. Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu. Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache? Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono...
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno Rushwa au Ufisadi. Watanzania kuweni makini

    Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani. Ndo maana msamiati wa ufisadi haupo kwenye vinywa vyao na hata kwenye ilani yao. Sasa mjiulize...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa kuliko Richmond, Dowans na EPA utakao haribu kabisa ushindani katika ligi yetu

    Hii kampeni ya Yanga nyuma yake lipo jambo zito, lengo lao sio kupata hivyo vijisenti vyako, lengo ni kuitumia kutakatisha fedha kisha club kupata mgao wa mabilioni. Kuanzia kwenye dirisha dogo mtashuhudia Yanga ikishusha wachezaji tegemezi toka Al Ahly, Mamelod n.k kisha watasingizia fedha za...
  7. Chakaza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Baada ya Scandal Hizi Kuwekwa Wazi, Kuna Awezaye Kupanda Jukwaani Kujinadi? Wizi na Ufisadi ni Aibu!

    Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi? Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi, Katibu wa uenezi na itikadi wa chama tawala, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, na mtu wa karibu kabisa...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  9. B

    JamiiForums Tanzania Wezi wa mali za umma tuoneeni huruma walala hoi. Ibeni halafu mfanye vitu vya kizalendo na vyenye tija ili roho zituume kidogo

    Suala la uzalendo kwa taifa ni cross cutting linalohusisha mambo mengi. Huwa naishiwa PAWA na inaniuma sana nikiona au kusikia kuna mtu katupiga halafu ananunua gari sijui la bilioni ngapi.Au mwingine anatorosha pesa kabisa nje ya nchi. That is not fair na mimi roho huwa inaniuma zaidi zaidi...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini skendo za ufisadi tunawatupia wanasiasa pekee ila WATUMISHI na watendaji wa serikali tumewakalia kimya

    Nchi hii ina raisi mmoja na wabunge wasiozidi 400 ila tujiulize ina matajiri wakubwa wangapi?Ni wazi ina watu wenye mabilioni zaidi ya watu hata 20000 je NI kweli kwamba hao wote wamepata mahela hayo kwa sababu ya kuwa karibu na wanasiasa?rushwa nyingi zinafanyika level ya huku chini Kwenye...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!!

    Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki. Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki. Imefika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ufisadi wa kutisha nchini zinazoibuliwa na Mange Kimambi katika vyombo vyetu vya Usalama zinahitaji ufafanuzi

    Hivi karibuni zimekuwepo tuhuma za ufisadi wa kutisha nchini. Mange kimambi, mwanadada aliyeko marekani kwenye channel yake ya Instagram ameibua tuhuma nzito sana zinazomgusa mtoto wa Rais Abdul, mwanamama mmoja aitwaye Anjela, na Wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Mange amezungumzia tuhuma...
  13. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kila siku zinavyoenda naona kama RAIS Wa MAWE ni mbeba lawama tu, mizigo yote ilikuwa inaguswa na BIG 3

    Nasamehe janja, ila kupiga ulikuwa unapiga ila sio kivile tulivyokuwa tunaaminishana kitaani. Siamini ulikuwa unagusa hata 1%. Huu ni msimamo wangu mwenyewe sio wa chama. No reforms no election. Unataka team moja tu na odds za kushiba??? Man U mpe goal 3 game uniyofuata, nimeona kapewa Odds...
  14. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ccm: bilion 100 zimeshaliwa na kwisha

    Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion 100 mlichanga ni za mwenyekiti pekee? Ina maana pesa hizo hazigawanywi mikoani? Inakuwaje tena...
  15. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

    Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kigoma Jela miaka 22 kwa ufisadi

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha. Hukumu hiyo...
  17. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Profesa Mussa Assad: Ufisadi umeshamiri kwasababu Mafisadi Hawaadhibiwi

    Asema hana matumaini na kizazi cha sasa katika kujenga jamii mpya, ataka nguvu ziwekezwe kwa vizazi vijavyo. Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu (Mstaafu) wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad, amehusisha kushamiri kwa vitendo vya ubadhirifu wa mali za umma na aina nyingine za ufisadi...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa waziri mkuu wa Mali Choguel Kokalla ashitakiwa kwa ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga ameshitakiwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma, kughushi na kutumia nyaraka za uongo. Maiga aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya mapinduzi ya pili ya kijeshi mwaka 2021, lakini alifutwa kazi baada ya kuikosoa serikali ya kijeshi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Watuhumiwa wa ufisadi na ubadhilifu wa fedha za umma hawachukuliwi hatua badale yake wanapandishwa vyeo na kuteuliwa nafasi kubwa za maamuzi

    Mgombea na nafasi ya Urais ACT wazalendo na alieyekua mwanachama wa CCM, Luhaga Mpina akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam ameeleza kuhusu uwajibikaji wake kwa Taifa kwa kufichua vitendo vya ufisadi na rushwa kuwa kosa la yeye kuenguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
Back
Top Bottom