ufisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

    Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc. Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Watanzania, tuuchukie ufisadi kama tunavyochukia matukio mengine. Mafisadi hawajawahi kuwa Marafiki wa Tanzania

    Hisia ,chuki na mihemko vikitawala mambo mengi sana huwa hayaendi sawa. Ripoti za CAG zinatolewa, madudu mengi yanaonekana, pesa nyingi zinaliwa na kupotea. Kwa sasa hali ilivyo utapiga mtoto wako au ukifanya tukio ambalo ndilo linavuta hisia za wajinga wengi na welevu wachache hapo haki...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunataka Rais wa 2025 achukie Rushwa na Ufisadi kwa moyo wake wote

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyopambana na Ufisadi

    Rais John Magufuli alijulikana kwa jitihada zake katika kupambana na ufisadi, na alitumia mbinu mbalimbali kukabiliana na tatizo hili. Hapa kuna baadhi ya hatua alizochukua: 1. Kukomesha matumizi mabaya ya fedha za umma: - Kupunguza Matumizi ya Serikali: Magufuli alianzisha sera ya kupunguza...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Athari za ufisadi Tanzania

    Athari za ufisadi nchini Tanzania zinaathiri maeneo mbalimbali ya jamii na uchumi. Hapa kuna baadhi ya athari kuu: 1. Kupoteza Rasilimali za Umma: - Mapato ya Serikali: Ufisiadi husababisha upotevu wa mapato ya serikali kupitia ulaji wa fedha zinazotokana na kodi na rasilimali za umma. -...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo wananchi wanafanya ndio yanawahamasisha wanasiasa kufanya ufisadi

    Hello ! Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada. Sasa diwani analemewa analazimika kukwapua kwenye fungu la kata ili aweze ku survive na kuonekana Mheshimiwa kama anavyotukuzwa ...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa CCM: Daraja la mawe na cement limegharimu mil 200. CCM haifai.

  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukakuta mambo haya yanafanyika katika nchi bora zinazojielewa

    Haya mambo ya ajabu yanashangaza sana, huwezi kuta haya mambo ya kijinga yanafanywa na viongozi huko kwa wenye IQ 100+ Pia soma: Nchi yenye IQ kubwa Duniani Hata hiyo namba tuliyonayo nahisi wame tupendelea tu. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2...
  10. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA si ile yenye uwezo wa kukemea Rushwa na Ufisadi

    Kwa walio ushuhudia umri wa CHADEMA tokea kianzishwe ni wazi haupo wakati Chama hicho kinashuhudia wimbi la utengano uliyo bayana kama siku za hivi karibuni. Kutuhumiana wazi wazi pasi na uficho kuhusu rushwa, ghiriba na ufisadi wao kwa wao ndani ya Chama ni hoja endelevu hadi wakati huu isivyo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima

    Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu katika eneo lote kitu ambacho kimesababisha kero kubwa kwa washiriki. Ukienda mbele zaidi haya ndio...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siyo Tanzania tu, nchi nyingi Duniani zinashindwa kukomesha ufisadi: Takwimu haziisemi vibaya Tanzania

    Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama kuna siku Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka neno Ufisadi!

    Shalom wana Jamii Forum. Sijui ni kuzeeka vibaya au kuchanganyikiwa. Kila nikirejesha kumbukumbu zangu nyuma, sioni au kuona kama kuna mahali katika hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka kinywani mwake neno UFISADI . Kama yupo mwenye ushahidi atuwekee clipu hapa walau nijue...
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kuchukua fedha kutoka makampuni yaliyo chini ya wizara zao ni ufisadi!

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano mkubwa pia mawaziri huwa wanachukua fedha kutoka makampuni na mashirika kwa ajili yao binafsi! Huu ni...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kigogo Benki ya KCBL atuhumiwa kwa ufisadi

    BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo . Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
  17. Jagwanana

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na rushwa

    Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa. Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa. Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Ufisadi wa kutisha kupitia sukari ulioibuliwa na Mpina litamuangusha ubunge Spika

    Ukweli ni kuwa ndg Tulia hajawahi kuwa kipenzi cha wana mbeya kwa kiwango kikubwa 2020 alishinda ubunge kwa heshima ya magufuli, magufuli alikubalika sana mbeya upepo ukawa upande wa Tulia Sina shaka na kichwa cha tulia akson ni very bright ila ni km yupo dilemma hajui aongozaje bunge...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wapinga ufisadi waunda group songozi kumuunga mkono Mpina Members laki mbili ndani ya masaa

  20. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania SoC04 Magufulication: Mahakama ya ufisadi iwekwe kisheria kulinda mali za umma na uwajibikaji

    Ni kama ndoto ya usiku wa manane, nazishuhudia zile siku nzito zisizosahaulika za kampeni za wabunge na urais mwaka 2015 , namshuhudia Hayati Dkt John Pombe Magufuli, akimwaga sera zake za kuomba kuchaguliwa kuwa rais, ana iahidi Tanzania na ulimwengu kuwa akichaguliwa tu, ataanzisha mahakama...
Back
Top Bottom