ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Macron yamemkuta, Waislamu wamjia juu na kususia bidhaa za Ufaransa

    Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu. Katika hatua ya sasa mataifa kadhaa ya kiarabu yameamua kuteremsha chini bidhaa za nchi hiyo...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  3. Ibrah

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

    Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia. Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania

    Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro. Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Ufaransa wafuta matangazo ya Magufuli!

    Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani. Makaratasi hayo inaonyesha...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein, C.I.A & Italian Intelligence Service: Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!

    Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger! UTANGULIZI SEHEMU YA KWANZA =========== Nyaraka za kughushi za mkataba wa kuuziana madini ya uranium huko chini Niger hapo...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

    Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele. Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao...
  9. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
  10. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

    Baada ya muda mrefu hatimaye calendar ya mashindano ya riadha duniani imeanza tena. 'First leg' ya 2020 Diamond League(DL) ilianza kule Monaco, Ufaransa ijumaa hii. Protokali zote mpya za COVID-19 zilizingatiwa, huku mashabiki 5,000 tu wakikubaliwa kwenye ukumbi wenye capacity ya watu 16,000...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa kutengeneza jua kama chanzo cha Nishati huko Ufaransa waanza

    Habari Watanzania' Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission. Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko...
  12. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Meli ya Tanzania yangundulika kusambaza Silaha nchini Libya. Je, Nasi tutawekewa Vikwazo na Mabeberu?

    Get short URL FILE PHOTO: Annual NATO's Submarine Warfare Exercise DYNAMIC MANTA held with the naval forces of Turkey, Canada, France, Germany, Greece, Italy, Netherlands, Spain, United Kingdom and USA in Palermo, Italy on February 25, 2019 © Getty Images / Dursun Aydemir/Anadolu Agency When...
  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 1960s: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales)

    1960s KGB CLOAK-AND-DAGGER SEXPIONAGE SPARROWS WITH LOVE FROM MOSCOW: Kisa cha Balozi Malaya wa Ufaransa na Majasusi wa Kike wa Russia (Femme Fatales) Ninakushauri uanze kwa kusoma kwanza makala yangu hii ya zamani: K.G.B Espionage na Ujasusi kwa njia ya ngono kama silaha ya vita. Honey...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ufaransa imesema haitaipiga marufuku Huawei ila imezisihi kampuni za simu kuiepuka Huawei

    Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei. Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha kutumia mitambo ya Huawei kwenye teknolojia ya 5G hasa kwenye maeneo yasiyo ya muhimu kama vile...
  15. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaikopesha Tanzania zaidi ya Tsh. bilioni 500 kwa miradi ya REA na maji Mwanza

    Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini Mwanza. Chanzo: RFA habari === Ufaransa yaipa Tanzania bil. 600/- za miradi mitatu SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD)...
  16. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Nawapa Ufaransa masaa 48 wamwache huru Felician Kabuga hatutaki double standard

    Mzuka Nikiwa mdau wa haki na usawa sipendi maonevu. Ufaransa mara moja imuache huru ndugu Felician Kabuga aende ajumuike na familia yake. Naipa hadi jumanne tofauti na hapo naingia chumba maalum cha maombi halafu matokeo yake mtaona. Inawezekanaje kuwe na double standard kwa kumuacha Mr...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: wasafiri wasiovaa barakoa watalipa faini ya zaidi ya Tsh. laki 3

    Uvaaji wa maski sasa ni lazima mjini Paris Ufaransa, huku ikiwataka wasafiri kuwa na vyeti kutoka kwa waajiri wao vinavyotoa sababu ya kwa nini wanasafiri Watakaokiuka agizo hilo watakuwa katika hatari ya kulipa faini ya $145 sawa na takribani Tsh 335,000. Aidh katika uvaaji wa barakoa ni...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yasalimu amri na kuondoa lockdown, ni baada ya uchumi kuyumba vibaya

    Baada ya kujifungia ndani kwa muda mrefu, wafaransa wameamua kama kufa na wafe tu, lockdown haivumiliki tena, wame ‘ease’ lockdown ili kunusuru uchumi. Source: BBC TV usiku huu Watu wakipanga foleni ya kupewa msaada wa wali maharage huko Paris, Ufaransa.
  20. simplemind

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuhimiza matumizi ya baskeli kukabiliana na Corona Virus

    France to pay 50 euros per person for bike repairs to boost cycling post-lockdown "(Reuters) - France will contribute 50 euros per person towards bicycle repairs after a nationwide coronavirus lockdown ends on May 11, taking an innovative step to encourage cycling and keep cars off city...
Back
Top Bottom