ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Yanga SC leo umeharibiwa na shabiki wao aliyesema Klabu ya Real Madrid inatokea nchini Ufaransa

    Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini. Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu...
  2. Tango73

    JamiiForums Tanzania 1976 siku kama ya leo ndege ya ufaransa yatekwa nyara athens ugiriki

    Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe. Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipa Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 361.7 kuzalisha umeme wa jua

    Serikali ya Ufaransa kupitia Shirika lake la Maendeleo la Ufaransa (AFD), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya Euro milioni 130, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 361.7 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa jua. Mkataba wa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa ahukumiwa kifungo cha miezi minne

    Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia. Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
  6. Mnyuke junior

    JamiiForums Tanzania Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

    Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
  7. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

    Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mali: Kanali Assimi Goita aapa kuwa Rais mpya wa Mpito

    Licha ya kitendo chake cha kufanya Mapinduzi ya Kijeshi mara mbili ndani ya miezi tisa kukosolewa, Kanali Assimi Goita amekula kiapo kuwa Rais wa Mpito wa #Mali akiahidi Uchaguzi Mkuu utafanyika Februari 2022 kama ilivyopangwa. Kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea, Ufaransa ambayo ni...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi amkaribisha Mamadou Sakho Ikulu. Ni nyota wa Crystal Palace na timu ya Taifa Ufaransa

    Nyota huyo na familia yake yupo Zanzibar kwa mapumziko na familia yake. Inasadikiwa ataanzisha kituo cha michezo cha watoto na kuendeleza soka la Zanzibar. "Nimefurahi kwa uwepo wako hapa Zanzibar na tutashirikiana katika kuendeleza soka la watoto"
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Louis wa XV Mfalme wa Ufaransa

  12. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Uturuki yaonywa kuingilia uchaguzi wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya Uturuki kuingilia kati katika uchaguzi wa rais nchini Ufaransa mwaka ujao. Ameituhumu serikali ya mjini Ankara kwamba inaeneza uwongo kupitia vyombo vyake vya habari. Akihojiwa na kituo cha televisheni nchini Ufaransa cha France 5, Rais...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi aitambulisha dawa ya COVIDOL nchini Ufaransa, wenyeji wake waikubali na kuipokea

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona. Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa ametaja hatua hizo kuwa ni pamoja na kutafiti na hatimaye kugundua dawa ya covido ambayo imesaidia...
  14. Grand Canyon

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake. HISPANIA Ilitawala...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa Tanzania na kusisitiza kuendeleza Ushirikiano

    Viongozi hao walikutana Makao Makuu ya CCM Dodoma. Balozi huyo wa Ufaransa nchini Tanzania amesema Nchi yake itazidisha Ushirikiano na Serikali ya Tanzania kwani inafurahishwa na hali ya kisiasa Tanzania. Amesema Wamefurahishwa na hotuba aliyoitoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge la...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing afariki dunia

    Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94,baada ya kuugua homa inayosababishwa na Virusi vya Corona. Rais huyu aliiongoza nchi ya Ufaransa kutoka mwaka 1974 Hadi mwaka 1981. Valery amefariki nyumbani kwake na taarifa zinasema kuwa...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuandamana kupinga sheria mpya inayowalinda polisi wanapowakamata watu

    Maandamano yanafanyika nchini Ufaransa katika maeneo kadhaa hii leo. Hayo ni baada ya serikali kutangaza sheria mpya ambayo itazuia watu kutumiana picha za maafisa wa polisi wanapowakamata watu. Sheria hiyo imetangazwa siku chache baada ya video kusambaa kote nchini humo ikimuonesha polisi...
  19. Umojaaaaa

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi amepigwa na Polisi nchini Ufaransa (Kama George Floyd)

    Mimi ni Mfaransa na nchini yangu Askari Polisi walipiga mtu mweusi na walimsema "Sale nègre" (Mtu mweusi chafu). Video imetazamwa zaidi ya mara 10 Milioni kwenye Twitter Marejeo :
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
Back
Top Bottom