ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu soka nchini Ufaransa yafutwa kutokana na CoronaVirus. Maamuzi ya PSG kupewa Ubingwa au la kujulikana Mei

    Ligi Kuu Soka nchini Ufaransa (The Ligue 1) na Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) zimefutwa baada ya Waziri Mkuu wa nchini hiyo kusema michezo yote itatakiwa kuendela Septemba 2020 Amesema kuwa michezo yote iwe inachezwa bila mashabiki au na mashabiki haitaweza kuendela nchini humo kabla ya Septemba...
  2. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Ukakasi wa majibu ya Naibu Waziri juu ya ongezeko la bei ya Sukari Nchini

    Mwaka 1879 Malkia aliyekuwa anaiongoza Ufaransa Bi Marie Antoniette aliambiwa wananchi wake hawana Mikate akajibu kwa kifaransa “Qu’ils mangent de la brioche” kwa maana ya kiingereza “Let them eat cake" kwa kiswahili kisicho rasmi Sana ni kuwa Waambie wale Keki. Inatajwa kuwa Brioche...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Corona; Ufaransa yahodhi shehena ya mask zilizokuwa zipelekwe Italy na Spain

    Corona yaendelea kuwatoa utu mabeberu. Kampuni ya utengenezaji wa vifaa tiba ya Uswizi, imelalamika kuwa Ufaransa imewachezea rafu mbaya mno Italy na Spain baada ya kuhodhi mzigo wa mamilioni ya mask za uso na glovu zilizokuwa zinasafirishwa kwenda kwenda Itali na Spain kupunguza maambukizi ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Burna Boy ''On the Low" wafika mauzo ya kiwango cha Gold nchini Ufaransa

    Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana ameweza kupata mafanikio makubwa kuliko msanii yoyote wa Nigeria. Big up to him. Nini umejifunza...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Maseneta wa Ufaransa wampongeza Rais Magufuli wasema ni kiongozi mwenye maono barani Afrika

    Kiongozi wa maseneta wa Ufaransa waliopo nchini kujionea shughuli za maendeleo hasa mipango miji na miundombinu wamempongeza Rais Magufuli na serikali yake. Kiongozi huyo amesema Rais Magufuli ni kiongozi mwenye maono na bara la Afrika linapaswa kujivunia. Ujumbe huo wa maseneta 8 wa Ufaransa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki katika maonesho ya kimataifa ya paris 2020, Ufaransa

    February 24, 2020 Paris, Ufaransa TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Tanzania...
  7. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea. Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yazuia ndege zake kwenda nchini Iran

    Wakati Jeshi la Marekani likitoa comment. "The Pentagon has sent six B-52 strategic bombers to the military base on the Indian Ocean island of Diego Garcia, which is beyond the range of Iran’s ballistic missiles, to prepare to hit Tehran if given the order." Shirika la Ndege la Ufaransa...
  9. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael ya Israel pamoja na Atos ya Ufaransa ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" ama "Glass Battlefield"

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Putin na mwenzake wa Ukrain Zelensky kukutana huko Ufaransa

    Kwa mara ya kwanza leo katika kipindi cha miaka mitatu kutafanyika tena kile kinachoitwa Mkutano wa Kilele wa Normandy kuhusu mzozo wa mashariki mwa Ukraine. Mkutano huo ulioandaliwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel utawaleta pamoja Rais wa Urusi...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaitikisa Ufaransa

    Mgomo wa kitaifa umeathiri shule na usafiri wa umma nchini Ufaransa Shughuli za usafiri zimesitishwa, shule zimefungwa, na katika mnara wa Eifel, hakuna watu baada ya vyama vya wafanyakazi kuitisha migomo kupinga mipango ya serikali ya kuufanyia marekebisho mfumo wa pensheni. Jiji la Paris...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa kuhusu pensheni waathiri usafiri Ufaransa

    Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipiza kisasi kwa kodi ya kidigitali ya Ufaransa

    Utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani umependekeza ushuru wenye thamani ya dola bilioni 2.4 dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka Ufaransa kama jibini na mikoba ya wanawake, kulipiza kisasi hatua ya Ufaransa ya kuyatoza kodi makampuni maarufu ya kidigitali kutoka Marekani, kama Google, Amazon...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

    Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi 'F' likitajwa kama "Kundi la Kifo" litakaloyakutanisha mataifa matatu 'vigogo' wa soka barani Ulaya...
Back
Top Bottom