Nina changamoto ya kusumbuliwa na mguu,sasa unafikisha mwaka wa 2, mguu huu unaouma ni wa kushoto tu.
Huu mguu unauma na kukosa nguvu ninapotembea tu,lakini kama nakaa,nasimama au kukimbia hata ukiendesha baiskel husikii maumivu yeyote ,ila ninapotembea aisee mguu hauna nguvu kabisa(MZITO...