Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema hawajashirikishwa.
Serikali iwape ruzuku Chadema waingie katika Uchaguzi.
Salaam!
Najua umuhimu wa press yako sawa. Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza.
Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk.
Umelala Job, pole kwa family.
Nawasilisha 🙏
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Uko nyuma niliwai kumwambia ukweli Mwigulu juu ya kupotea kwa Ben Saanane mpaka akatoka na kuja jamii forums kujitetea wakati ni waziri wa mambo ya ndani.
Akaja kujitetea jamii forums wakati huo Mello wa jamii forums alikuwa na kesi kwamba jamii forums haijasajiliwa Tanzania na ina operate...
Wana CCM tuna ile kitu wakati mwingine tunaita mob psychology.
Tunaamua mambo kwa kuyaficha chini ya carpet , tukitegemea yataindoka yenyewe.
Kusafisha makosa ya kisiasa inakuwa ngumu sana.
Mwalimu aliwahi kufungua mkutano mkuu wa CCM kwa kauli mbiu TUJISAHIHISHE.
Sasa anapotokea kinyangarika...
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda mrefu baada ya kupokea matibabu ya mchanganyiko, jambo linaloashiria hatua kubwa kuelekea tiba ya...
kwenye Maisha kutokua na sababu ya kuishi kunaua zaidi kuliko njaa na magonjwa, mtu asie na sababu ya kuishi ni rahisi kukata tamaa, kuishi bila kujijali, kuwaza sana starehe, n.k.
Sababu ya kuishi kwa kuogopa kifo ni kwa kila kiumbe, hata panya akibanwa kwenye kona hupata ujasiri wa ajabu wa...
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu.
Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu vimtweze.
Hakika Hersi atambue hawezi tena kupata maendeleo kwa namna alivyomtenda Haji!
Haji ni mtu...
Mnamo tarehe 29/03/2021 niliikosoa hadharani hotuba ya kwanza kabisa ya Rais wa JMT Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani nilimweleza wazi kwamba sera zake za uchumi hazina tija kwa baadaye na nikamkumbusha ilani ya kurasa zaidi ya 200 zinazotaka kufanyiwa kazi na nikamsihi asitoboe matundu ya pesa...
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
Tumewekewa ndimu na kachumbari njiani ili tusiendelee kuhoji mkataba mbovu baina ya JMT na Dubai Port World.
Pamoja na kwamba serikali kupitia mamlaka na mihimili yake wamefunga ndoa ya kufilisi na kujimilikisha binafsi rasilimali kuu za uchumi wetu, lakini mhimili moja (Mahakama) umesema wao...
Habari wana bodi!
Mimi nikiwa mmoja ya vijana mtafuta ajira, mnaweza kuwa mashahidi wa ajira za utumishi zikifanyikia Dodoma zinakuwa fair sana kuliko zikifanyikia kwenye taasisi husika. Mfano ajira za vyuo vingi, zimefanyikia kwenye taasisi husika. Watu wengi nimesikia wakilalamika ya kuwa...
SIFA ZA WATU ULIOWAZIDI WASIOTAKA UFANIKIWE!
Anaandika Robert Heriel.
Leo sitaandika mambo mengi. Andiko hili litakusaidia kuwaelewa watu na kukufanya usiwe na Stress za kijinga.
Zifuatazo ni miongoni mwa sifa za watu uliowazidi.
1. Wanapenda kujilinganisha na wewe.
Ukiona unatabia ya...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa.
1...
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu.
Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali
Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing).
Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
Kuna mambo dola inafanya hata waliopo CCM wamefika mahali wanakereka japo awasemi adharani. Kuna mambo yanafanyika hata familia ya Mkuu wa nchi inakereka kuona yanafanywa mbele ya ndugu yao. Ukamataji usio na tija wala mkakati ni uhuni kwenye Taifa. Leo unasikia sijui wamekamatwa watu Sirari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.