Hali ilivyo yafaa kauli mbiu iwe "Ukamataji uendelee"

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kuna mambo dola inafanya hata waliopo CCM wamefika mahali wanakereka japo awasemi adharani. Kuna mambo yanafanyika hata familia ya Mkuu wa nchi inakereka kuona yanafanywa mbele ya ndugu yao. Ukamataji usio na tija wala mkakati ni uhuni kwenye Taifa. Leo unasikia sijui wamekamatwa watu Sirari, mara Temeke, mara mbeya sijui Mwanza Kisha unasikia wameachiwa mara wamekamatwa Tena this is nonsense. Ni mambo ya ajabu sijawahi kuona.

Ukiangalia wanaofanya haya unaweza ukadhani ni robots maana hata wao ukiwauliza awajui wanamfanyia nani. Pamoja na unafiki na mengine mengi ila CCM inachokwa kwa sababu ya kazi wanaofanya polisi.

Lakini nijuavyo ubaya wa wanasiasa, kamatakamata hii ikiendelea kuichafua nchi tusishangae wakuu wa vyombo vya dola wanastaafishwa au kupangiwa kazi nyingine. Mifumo ina kawaida ya kuwapumbaza watu, naamini Mama anatafuta namna yakumtumbua Mkuu wa Intelligence na njia au kigezo atakachotumia ni huyu Mbowe aliyepo ndani na hizi kamata kamata zinazoendelea. Wanasiasa Wana mbinu nyingi lakini pia mfumo una wenyewe. Bora utumbuliwe ukiwa msafi kuliko kutumbuliwa ukiwa umejichafua.

Siamini Kama Rais haoni huu ukwamishaji unaotokea, anatafuta wakumtoa kafara kwa kumtumbua then upepo urudi sawa ndipo atoke UKAMATAJI UENDELEE NA KUREJEA KAULI MBIU YA KAZI IENDELEE.

Ukamataji uendele
 
Kuna mambo dola inafanya hata waliopo CCM wamefika mahali wanakereka japo awasemi adharani. Kuna mambo yanafanyika hata familia ya Mkuu wa nchi inakereka kuona yanafanywa mbele ya ndugu yao. Ukamataji usio na tija wala mkakati ni uhuni kwenye Taifa. Leo unasikia sijui wamekamatwa watu Sirari, mara Temeke, mara mbeya sijui Mwanza Kisha unasikia wameachiwa mara wamekamatwa Tena this is nonsense. Ni mambo ya ajabu sijawahi kuona.

Ukiangalia wanaofanya haya unaweza ukadhani ni robots maana hata wao ukiwauliza awajui wanamfanyia nani. Pamoja na unafiki na mengine mengi ila ccm inachokwa kwa sababu ya kazi wanaofanya polisi.

Lakini nijuavyo ubaya wa wanasiasa, kamatakamata hii ikiendelea kuichafua nchi tusishangae wakuu wa vyombo vya dola wanastaafishwa au kupangiwa kazi nyingine. Mifumo ina kawaida ya kuwapumbaza watu, naamini Mama anatafuta namna yakumtumbua Mkuu wa Intelligence na njia au kigezo atakachotumia ni huyu Mbowe aliyepo ndani na hizi kamata kamata zinazoendelea. Wanasiasa Wana mbinu nyingi lakini pia mfumo una wenyewe. Bora utumbuliwe ukiwa msafi kuliko kutumbuliwa ukiwa umejichafua.

Siamini Kama Rais haoni huu ukwamishaji unaotokea, anatafuta wakumtoa kafara kwa kumtumbua then upepo urudi sawa ndipo atoke UKAMATAJI UENDELEE NA KUREJEA KAULI MBIU YA KAZI IENDELEE.

Ukamataji uendele
Ndio shida ya kutawaliwa na washamba na wageni.
 
Back
Top Bottom