Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu.
Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
Baada ya kukamilika kwa awamu zote tatu za udahili, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya waombaji waliokosa udahili kutokana na sababu mbalimbali.
Pia, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya Taasisi za Elimu ya Juu nchini ambazo...
Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo.
Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye...
Round ya kwanza ya udahili inafungwa August 5, 2021 hadi leo vijana walioitwa JKT kwa mujibu wa sheria wamefungiwa makambini (mf. Mgambo).
Inabidi wengi wajaziwe na ndugu au rafiki zao. Hawana muda wa kujua kwa umakini ni nini kile wanataka na wengine hawapati ushauri wa kutosha. Hii ni...
Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi.
Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100
Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili uweze kusomea unachotaka kusomea.
Hivyo ni muhimu sana kuwa na sababu ya kwanini unachagua chuo...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte.
Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
IMEELEZWA kuwa Tanzania ni kinara katika suala la udahili wa wanafunzi katika elimu ya awali barani Afrika na hivyo kuifanya kupiga kubwa katika utekelezaji wa maelengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mafanikio hayo yanatokana na serikali kutoa elimu bure bila malipo ambao umechangia kuongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.