World Bank: Tanzania bado haijafika uchumi wa kati Middle Income Country (MIC)

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC.

Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika kuyagawanya mataifa kwenye makundi mbali mbali kulingana na uchumi.

Screenshot_20220113-143300.jpg
 
View attachment 2079404
 
Go hang yourself
Screenshot_20220113-151629_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220113-151643_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220113-151651_Samsung%20Internet.jpg
 
Nahisi kwa huyu mama Samia hawa watatoka raundi hii, hajaanza kwa chuki kama mwenzake, anaendelea kuboresha mahusiano na kukaribsha kila mwenye nia njema.
Yule mzee alianza vibaya, na akatumia nguvu nyingi kuharibu.
marehemu hakuwa na Nia njema kabisa na Tanzania. alikua na papara papara nyingi akidhani anatengeneza, kumbe ndio anazidi kuharibu.
tangu Mama achukue usukani, ameweka mambo sawa na hadi Wakenya wametinga kwenye hilo shamba la bibi ku-source raw materials na matokeo yake tunayoyaona ni haya 👉👉👉
 
tameer Sasa ni kipi kinachokukondesha hapo. mbona kama una roho ya kichawi hivi? umezoea kuishi maisha ya kishetani kama mwendazake na hutaki kuona wakulima wenu wakichekelea benki
 
Atayemsifia huyu mam na kusema anafanya mazuri kumliko Marehemu Magufuli ni fala wa kupindukia ama pia hajui siasa safi na uongozi.
Uko serious unamsifia Samia Suluhu!?
Duh kweli una safari ndefu ya kukua kiakili.
Mwanamke alofanya wajasiriamali zaidi ya maelfu wakose kazi,mwanamke anaetaka kufuta elimu bure,mwanamke anaefanya safari zisizo na tija kwa taifa mathalan safari ya Misri,mwanamke aloua na kuzorotesha baadhi ya miradi unamsifia!?
Kweli una safari ndefu sana ya kukua kiakili.
 
tameer Sasa ni kipi kinachokukondesha hapo. mbona kama una roho ya kichawi hivi? umezoea kuishi maisha ya kishetani kama mwendazake na hutaki kuona wakulima wenu wakichekelea benki
Ooh nishasahau kumbe we ni mkenya mnamponda Magufuli kwasababu aliwabana sana kende na roho zenu za kizandiki.
 
marehemu hakuwa na Nia njema kabisa na Tanzania. alikua na papara papara nyingi akidhani anatengeneza, kumbe ndio anazidi kuharibu.
tangu Mama achukue usukani, ameweka mambo sawa na hadi Wakenya wametinga kwenye hilo shamba la bibi ku-source raw materials na matokeo yake tunayoyaona ni haya
Kenya can make a lot of money from Tanzania. We need to keep this country close and Suluhu in power.
 
United Republic of Tanzania bado haijafika kiwango cha kuwa nchi yenye uchumi wa kati a.k.a Middle Income Country (MIC). Nchi ya Tanzania bado iko katika kundi la Least Developed Countries almaarufu LDC.

Haya ni kulingana na World Bank na United Nations mashirika ambayo huhusika katika kuyagawanya mataifa kwenye makundi mbali mbali kulingana na uchumi.

View attachment 2079404

The world bank ni bank ya MABEBERU. tunajua njama zao.
 
Back
Top Bottom