MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!!
FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO!
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo?
Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’.
Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye ubunifu, yanayotekelezeka na endelevu katika kulinda na Kukuza Uchumi wa Taifa letu dhidi ya athari za...
Habari Waziri wa Vijana Tanzania !.
Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=).
Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on progree products) yaani kuchakata kitambaa kuwa nguo au vazi kamili( Finished products).
Kupitia...
Huyu mama hata hesabu za darasa la pili zinamshinda
Hivi kweli nusu ya laki moja ni 556? Hebu msikilizeni wenyewe
Na bado anaendelea kukopa na hajui hata kuchagua maneno ya busara ya kujustify upuuzi wake
Juzi tu katuambia Marekani mafuta lita moja ni dola 8000 sawa na Tsh milioni 20 😂😂...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inapaswa kujenga uchumi imara unaojiendesha kwa kutegemea mapato yake ya ndani.
Akichangia Bungeni, Shigongo ameeleza kuwa mchango wa mapato ya kodi kwenye pato la Taifa bado ni mdogo, jambo linalohitaji Serikali kuweka mazingira rafiki...
Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo aliyoandika Magesa ninadhani waliosema mwanamke hasomeshwi walikuwa sahihi.
Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
Habari wadau mimi ni welding technology nahitaji mdau yoyote mkoa wowote tufunguwe workshop vifaa ninavyo kama welding machine grander machine drill machine naweza kupauwa paa za chuma magate madirisha dawati za shule bembea vitanda nk nipo mbez beach. dar number zangu ni 0756547949\0621013855
Ni muda mrefu sasa Kafulila hajasikika akileta taarifa za PPP kama tulivyomzoea akitoa taarifa na kudadavua mambo mbalimbali ya uchumi.
Kabla ya October 2025 Kafulila alikuwa moto sana na taarifa zake za PPP zilijaa kwenye media hadi hapa jukwaani.
Kulikoni?
Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa ndiyo gundi inayoshikilia hisia?"
Habari za muda huu wana-JF,
Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda.
Lengo...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
Womenomics Tanzania 2025.
~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi.
Takwimu Muhimu (2025)
80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi.
54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake.
Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
Unapokatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mwanjelwa jijini Mbeya, au soko la Nyakato jijini Mwanza, zile sauti za wafanyabiashara wadogo na harufu ya vyakula vya mama lishe zinazotawalaga kwa mbali, unaweza kudhani ni shughuli za kawaida za kujitafutia riziki, lakini ripoti mpya kutoka...
Wote kipaumbele chao ni kuendelea kubaki madarakani. Ili dikteta aendelee kubaki madarakani lazima awe na hela za kuwalipa wapambe, wanajeshi na vyombo vingine vya dola. So akili ya dikteta siku zote imefocus kwenye hela na uchumi.
Kama nchi ina resources kama mafuta basi akili yote ya dikteta...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
Habari Tanzania !
Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu.
Karibu.
Y = C + S ni sawa na kusema;
Y= C+ I
Hii maana yake;
Y = Income/ Kipato
C= Consumptions/ Matumizi
S = Savings/ Hifadhi
I = Investment/ Uwekezaji
Nawaletea mambo kwa...
Nyere alishidwa sehemu moja tu kwenye uchumi. Wakati wa nyerere Tanzania ilikuwa masikini na hakufanikiwa kuja na suluhu ya maana.
Sera na maazimio yake hayakufanikiwa ndiyo maana hadi leo Kenya nchi ndogo zaidi imetuzidi uchumi. Kuna watu wawili ambao angewasikiliza tusingekuwa hapa Edwin...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa- Gamashi yenye urefu wa kilomita 18, iliyoimarisha shughuli za kiuchumi kupitia Sekta ya Usafiri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.