uchawi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania baadhi ya watu wameendekeza imani za kishirikina

    1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi. Pia viongozi na mashabiki wa hizi timu wamekuwa wakiamini ktk ushirikina mpk wameunda kitu kinaitwa "Kamati ya Ufundi". Leo...
  2. Xav Emmanuel

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Kushangaza Duniani Yanayodaiwa Kusababishwa na Uchawi

    Hebu leo twende huku na kule duniani tuangalie matukio yaliyotokea miaka ya nyuma, yanayoaminika kuwa yalisababishwa na uchawi au nguvu za giza. Baadaye ntakueleza njia za kuwashinda wachawi na mashetani kama umekuwa ukiwaogopa. Uingereza: Poltergeist ni tukio lililotokea Uingereza. Tukio hili...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

    Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
  5. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je ni kitu gani kilikufanya uamini Uchawi upo?

    Kuna wadau wanaamini katika uchawi mdau karibu utujuze je ni jambo gani lilikufanya uamini kuna uchawi?
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya Waumini viherere Ibadani Makanisani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Sifa za Uchawi mitaani Kwao wanapoishi?

    Na wakiwa Ibadani Makanisani ndiyo hupenda kukusanya Sadaka na kufanya kila aina ya Shughuli za Ibadani hata kama zingine haziwahusu. Hupenda pia kuwa wa Kwanza kupokea Sakramenti ya Bwana na Nyimbo mbalimbali zikiwa zinaimbwa hupenda Kuimba kwa Sauti za Juu kuliko Sisi Waumini wengine (hadi...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi ni uchawi, ujinga au upumbavu?

    Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius. Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao kiendelee kutawaliwa na malkia kutoka kitongoji jirani. Aisee hapa uchawi umehusika.
  8. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania According to Grok ya X, 93% ya Watanzania wanaamini katika uchawi

    Prevalence of Belief: Witchcraft beliefs are widespread in Tanzania. According to various surveys, a significant portion of the population, with some estimates suggesting up to 93% of Tanzanians, believe in witchcraft. This belief system often explains misfortune, illness, or death in terms of...
  9. G

    JamiiForums Tanzania BBC kwanini mmecha kuzungumzia matukio muhimu ya Uchaguzi wa Tanzania?

    Leo jioni katika matangazo yao, wamerusha kipindi kinachozungumzia matukio muhimu ya 2024 hapa Tanzania. Katika matukio ya kisiasa wamekwepa kabisa kuzungumzia kilichtokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Hivi kweli unaweza kuzungumzia hali ya kisiasa Tanganyika 2024 bila kugusia hilo...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimeamini uchawi ni story za kusadikika tu.

    Niko mapumzikoni kijijini kwetu huku kwenye moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Sasa kuna sehemu hapa kijijini kwetu pana mti mkubwa watu wanapaogopa sana,wenyeji wanasema ikifika saa 1 jioni ndio mwisho wa kupita hapo vinginevyo tegemea kukutana na mambo ya ajabu. Sasa mimi hivi ninavyoandika saa...
  11. Ibun Sirin

    JamiiForums Tanzania Karibu nikutafsirie Ndoto yako kama umeota leo Desemba 21, 2024

    Ndoto zimekuwa na maana maalum au tafsiri zinazohusiana na imani za kiroho. Ndoto zinachukuliwa kama ishara au ujumbe kutoka kwa nguvu za kiroho au kutoka kwa ulimwengu wa roho. Ndoto ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya binadamu. Karibu nikutafsirie ndoto yako. Hakikisha unaweka tarehe...
  12. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Uchawi unaichelewesha Simba.

    Habari wanasports. Katika mambo ambayo yanaikwamisha simba kupiga hatua hasa ndani ya uwanja ni UCHAWI. Wachezaji wanarogana sana hivyo timu inakua ngumu kufikia malengo yake kwa wakati. Kramo, Fraga, Kwassi, Mugalu, Ngoma(alienda kwao kurekebisha mambo, sasa mambo yanakaa poa na anataka...
  13. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

    https://www.youtube.com/watch?v=3_umentdZoo
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Uchawi live

    Now nimeshangaa kuona wachawi wapo live kabisa hakuna wanachokiogopa tena yaani hakuna kabisa af wajinga wachache wanaingia king mm japi najua kusoma nyota ila kamwe siwezi ingia live na ili nikusomee nyota uwe umenishawishi sana ila wamachofanya hawa ni aibu sana
  16. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  17. Saad30

    JamiiForums Tanzania Biashara ni uchawi

    Mambo vipi wakuu. Wewe umeweka mtaji wako wa milion 10 dukani kwako. Jirani yako ameweka mtaji WA milion 30. Unaamua kwenda Kwa mganga alafu mganga baada ya kukuchekia Ramli yako anakwambia njoo na jogoo mwekundu na Nazi Saba kwajili ya kufungua. Mwenzio anaenda Kwa mganga anaambiwa inabidi...
  18. kwisha

    JamiiForums Tanzania Imani yangu juu ya uchawi inanipa mashaka

    Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hii Mwaka 2014 kuna brother fulani ambaye tulikuwa tunaishi naye village moja...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti, uchawi vingekuwa uhai wangu, vijana kiweni makini vyuoni

    Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa. Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu. Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
Back
Top Bottom