Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh).
Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa
Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini.
Leo...
Esther Maria Njeri aliyepotea mwaka 2012 akiwa mfanyakazi wa ndani Saudi Arabia amegundulika kuwa mfungwa katika gereza la Almaz baada ya Mkenya mwenzake aliyeachiliwa kutoka gereza hilo kuwaambia ndugu zake waliokuwa wakimtafuta kwa miaka 12 kwamba walikuwa wote gerezani huku Esther akiwa...
Hii imekaaje jamani...
Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje
Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence)
Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini kilitokea
Mimi nilianguka sehemu ambayo hata mtoto mchanga anayejifunza kutembea hawez kuanguka...
Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa.
Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania.
Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani.
Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya...
Inakuaje mtu mpaka anaanza kumwamin mtu kama Tonny na wengine wa aina yake kiasi cha kumpa hela ati akiita sadaka, kwenda kushinda na kukesha huko?
Kwa akili ya kawaida haikuji, hawa huwa wanalogwa kwanza...🤔
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na chamazi dar nimeishi maeneo mengi ila sio kwa hayo maeneo yaani uchawi ndo ulipo lala, bora hata mikoani 😜
SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW
MTUNZI:KAILOJONHJO.
UTANGULIZI
SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi
Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
Nini maana ya kuchanga, kutoa michango.
Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea.
Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato
Habari ya mchana ndugu mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu mbalimbali zenye kukupa ufahamu juu ya maradhi mbalimbali yanayoizunguka jamii yetu, iwe ni maradhi yanayotokana na mazingira yanayotuzunguka au viumbe wenzetu...
Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza:
---
🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza
✅ (a) KIMWILI (Physical effect)
1. Harufu kali (aromatic compounds)
Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow.
kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa.
Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa .
Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi?
Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk.
Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
In short m sijihusishi na dini yoyote hapo juu kuna ile kasumba ya wafasi kujiona wao bora na kuwaita wenzao majina yasio faa.
Mnakosea sana kwa mtazamo wangu usije kumvunjia vyungu vya uchawi mtu angalia pita hivi sababu vinamnufaisha yeye sasa kumuona mwenzako pepo ni hakili ndogo tu
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.