uchawi

  1. JamiiForums Tanzania UMASIKI, CHIKI NA UCHAWI NI KULWA NA DOTTO

    Chuki kubwa waliyonayo watu wengi dhidi ya watu waliofanikiwa kisiasa au kiuchumi inatokana na Umaskini wa kipato na umaskini wa fikra. Chuki ikizidi huzaa roho mbaya na roho mbaya na Uchawi ni kama kurwa na dotto.
  2. JamiiForums Tanzania Familia nyingi za Kitanzania ni masikini kwa sababu ya UCHAWI na ULOZI

    Salama wakuu? Mimi umri umesogea sana... hivyo nimeona mengi na nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi. Nimezunguka sana nchi hii, karibu mikoa mingi nimefika.. pia niliwahi kufanya kazi taasisi nyeti zilizoniruhusu kupata taarifa nyingi za siri za watanzania wengi. miongoni mwa mambo mengi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  4. JamiiForums Tanzania Uchawi ni nini ?

    Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi! Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
  5. JamiiForums Tanzania Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Kama kungekuwa na pesa za uchawi/majini basi bro Mshana Jr angekuwa tajiri namba 1 Africa

    The old Witcher 🤔 Mshana Jr
  7. JamiiForums Tanzania Joseph Glanvill: Majini, Uchawi na mpaka uliopo kati ya Imani na Sayansi

    SEPT 21, 2026: Tanzania Hivi fikiria nyumbani mwako unashuhudia kundi la sisimizi limerindima katika kuta za nyumba na kila baada ya siku kadhaa unawaona tena, je ni hali ya kawaida au sisimizi nao wanahama kama nyumbu? Hapana, sisimizi wakijaa katika nyumba wanaashiria mambo matatu, (1)...
  8. JamiiForums Tanzania Uchawi kwenye ujenzi wa majumba upo, umeshawahi kukutana nao?

    Kule kijijini kwetu Singida ukijenga nyumba nzuri, lazima ujipange kweli kweli kama ni mlonzi basi loga sana, kama ni mcha Mungu basi omba sana. Unaweza maliza nyumba yako na ukadanja ukaiacha, husda ni hatari kule.
  9. JamiiForums Tanzania Wale wanaosema uchawi haupo, naomba mtusaidie kuitafsiri hii video. Tazama hadi mwisho

  10. JamiiForums Tanzania Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

    Mgonile, Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili: video...
  11. JamiiForums Tanzania Tukio la Diamond kutaka kuibiwa kwenye 40 ya mtoto wake laibua mapya! Uchawi watajwa, Ni nani?

    Video inayomuonyesha msanii Diamond Platnumz akiwa na msanii S2kizzy kwenye sherehe ya arobaini ('40') ya mtoto wake imeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye kipande hicho cha video, unaonekana mkono wa mtu aliyesimama kwa nyuma ukimgusa na kushika vito vyake vya thamani...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwauliza wana JF kumi kama uchawi upo, 8 kati 10 watakuambia upo ila ukiwauliza hao 8 kama wana uthibitisho 95% ya maelezo utagundua hawana uhakika

    Mshana Jr usiniroge bro ni maoni yangu tu na data za kutunga tunga😁
  13. JamiiForums Tanzania Uchawi upo wa aina nyingi sana!

    Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!? Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi. -Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uchawi anaoutumia mwanamke kukutawala(limbwata) -mshana jr legacy

    Mimi ni Mshana Jr derivative nipo hapa kukupa uchawi anaoutumia mwanamke kukumaliza. 1.Damu ya hedhi Mwanamke huchanganya kwenye chakula. Na mara tu baada ya kula utawala wa mwanaume unashuka kama CD4. Na hapa mwanaume hataona kosa lolote kwa mke wake na badala yake atagombana na ndugu na siyo...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaosema uchawi haupo, hiki ni nini.!?

  16. JamiiForums Tanzania Je, ni uchawi au saikolojia?

    Hello jamii intelligence 👋 Wakuu hii habari ya uchawi nadhani sio jambo geni Uchawi ulitajwa kwenye vitabu vya dini hasa hivi maarufu Bible&Qur'an Kwa bible mfano Kutoka 22:18 inasema: Usimwache mchawi kuishi Huu ni ushahidi kua Bible inatambua uchawi Uchawi umetajwa pia kwenye Qur’an...
  17. JamiiForums Tanzania GeorDavie kwenye kashfa nyingine ya ngono na uchawi na binti wa kizungu

    Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
  18. JamiiForums Tanzania kwa wale ambao hatuamini uchawi tulielezeeje kisayansi tukio hili la mwizi kunasa akijaribu kuiba

    Kuna tukio limetokea Dodoma eneo la Chaduru, ambapo kijana aliyekuwa akijaribu kuiba kwenye duka la spare mkono wake ukanasa kwenye sehemu ya duka, na inaelezwa kwamba alikaa hivyo kwa zaidi ya masaa 8. Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao hatuamini uchawi. Kwa hiyo sitaki kuanzia kwenye hitimisho...
  19. JamiiForums Tanzania Mnajua anacho kifanya Mzee Hassan Dalali kuzunguka uwanja leo Simba Day? Uchawi wa mwaka 1993

    Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina.. Eti muasisi wa Simba Day azunguke uwanja kusalimia mashabiki.. 🤣🤣 Mnatuona wote watoto eeh? A nacho kifanya huyo...
  20. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…