uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini zote kufanya matembezi ya Amani sio Uchawa

    Viongozi Wa Dini Wanavyofanya Matembezi Ya Amani Sio Kufanya Uchawa Bali Ni Kuliombea Taifa Amani Tulionayo Izidi Kudumu Kwenye Taifa Hili” Sheikh Walid Ameyasema Hayo Wakati Wa Matembezi Ya Amani Amani Yaliyofanyika Leo Septemba 20
  3. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kaka na Dada zangu acheni uchawi, hakuna mahala utawafikisha

    UCHAWI UPO; Asili yake ni kukufumbaza ili uone kama unakufanikisha ila kaisili unakula Aura, Nafsi na kizazi chako. Asili ya uchawi ni maangamizi, utakupa vipesa vya kwenye bishara yako lakini utalipa kwa damu yako au wanaonganika na wewe. Asili ya uchawi ni uharibifu utakuponesha ugonjwa...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania BoT kushinda award ya Global inclusion ni sahihi au ni uchawa wa kimataifa?

    Benki Kuu ya Tanzania imeshinda Global Award of Financial Inclusion. Ikumbukwe Tanzania sio nchi inayoongoza kwa unafuu wa Financial Inclusion tozo nyingi, na namna ambazo zinazidi kufanya watu wasipende kutumia namna za kidigitali za kutuma fedha. Haya mambo haya yananistaajabishaga sana basi...
  5. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Video: Wanasimba wakataa uchawa wa kisiasa

    Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao.. Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa msimamo wenu thabiti wa kukataa kutumika kama daraja la watawala kujipatia umaarufu kunuka kupitia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Uchawa na kubebana chanzo cha kufanya vibaya Taifa Star CHAN-2025

    wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani.. kilichotugharimu 1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  8. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Kipindi ambacho hakukuwa na uchawa wala utekaji watu walikuwa wakiburudika na nyimbo za kuponda CCM

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Pia, Kimbisa amesema Makamu Mwenyekiti Zanzibar wa CCM, Dk...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bashe: Nchi Hii Umezuka Mtindo wa Mtu Anaesema Ukweli wa Kilichofanywa na Serikali/Rais Kuitwa Chawa

    Nakubaliana kabisa na Waziri Bashe. Kuna makenge ambayo yamekuja na msemo kwamba ukielezea mambo Mazuri ambayo wao (makenge) hawapendi kusikia na in most cases ni mafanikia ya Serikali ya Rais Samia unaitwa Chawa. https://youtu.be/B26JzIGiuQ8?feature=shared My Take Ni Bora Kuitwa Chawa kuliko...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Dini ya Allah inaruhusu uchawa?

    Mwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa. Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Acha uchawa. Pambania maisha Yako. Pambania Tanzania

    Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa. Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Mpina alikuwa anajaribu kujenga hoja kuwa wanaosema hawamdai Mama wanapotosha, na Mama ajue nchi hii kila mahali bado changamoto ni nyingi

    Ukitafakari kwa makini, utagundua huu ndio ujumbe ambao Mpina alikuwa anajaribu kuifikisha kwa Mama Samia. Mpina alilenga kuwakosoa wanaosema hawamdai Mama wakati hii nchi na watu wake ni masikini na majlmbo kuna changamoto nyingi sana na huo ndio ukweli na huu ndio ulikuwa ujumbe wa Mpina kwa...
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Mtanzania na maadui wa Mtanzania ni umaskini na Uafrika . Uchawa unaliangamiza Taifa , tuukatae kwa nguvu zote

    Uchawa unaliangamiza Taifa hakuna kusema ukweli , hakuna Uzalendo tena . Umaskini,Tamaa ,Uvivu na kupenda madaraka umefanya kuisahau Tanzania , palipo na pesa hakuna haki , hakuna kukemea ubaya na kuimba mapambio ya aliyeshika rupia . Ni lini tutaupinga kwa nguvu Uchawa na machawa wakalijua...
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi . Unaonaje huko mbeleni nchi inapoeleke?

    Uchawa unazidi kwenye nchi Hii Unaonaje huko mbeleni na hii hali?
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Ni asili ya Uislaam kutii mamlaka ila sio uchawa

    Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO. Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wana masumbwi waja na Knockout ya Mama, uchawa unaua michezo kidogo kidogo kadri siku zinavyoenda

    Wakuu, Haya sasa mmeletewa knockout ya mama huko, mkapigane kwaajili ya mama, aloo🤣🤣. Naona huu uchawa ndio umekuwa sehemu za kumuondolea stress kwenye sekeseke ukatili wa polisi na haki za binadamu pamoja na kesi zinazofunguliwa huko dhidi ya Tz, asije akafa kwa presha🥲🥲.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Raia wapite kati; waepuke kukebehi viongozi na waache uchawa

    Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
Back
Top Bottom