uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    PreGE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

    Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  2. Lord Denning

    Inasikitisha na kuumiza kweli: Hapa ndo tulipofika Tanzania, Taifa na Wajinga na Ujinga

    Watu wanawaza kuwalamba miguu Viongozi na kuwa machawa wao ili waendelee kula. Hawawazi maslahi mapana na Tanzania na kesho njema ya Taifa letu. Viongozi badala ya kuelekeza fedha zikawahudumie Wananchi ikiwemo kununua madawa, kuweka miondombinu bora ya elimu kwa watoto wetu inayohudumiwa na...
  3. Damaso

    Steve Nyerere uchawa umezidi kipimo!

    Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga. Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo...
  4. J

    PreGE2025 Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?

    Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums 'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu. Washiriki...
  5. Superbug

    Uchawa utaliangusha taifa

    Hii tabia ya kila kitu mama mama mama inachosha kuchusha kuboa na kutia kinyaa. Unakuta kijana ana nguvu zake safi tu badala achape kazi atoboe yeye anashabikia mtu ili apate kitu. Ukiona WALIMU WANAFUNZI WA vyuo nk wanatengeneza makundi ya whasap na kujinasibisha na mama sio kwamba wanampenda...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Wanasiasa wangekuwa wanapiga kazi muda wote kama ilivyo kipindi cha uchaguzi Tanzania ingekuwa wapi kimaendeleo?

    Wakuu, Wote tunashuhudia kipindi hiki cha uchaguzi wanasiasa wakiangahaika huku na hukokuonesha wananchi wao ni watu wa kazi, wanawasikiliza kero za wananchi na kuzitatua kwa wakati, wanafika mitaani kuangalia mambo yanavyoenda, ziara za kushtukiza zinapigwa kwelikweli, wengine mpaka wameweka...
  7. J

    PreGE2025 Ukiona Mwanasiasa Kijana anamsifia Mwanasiasa mzee elewa kuwa Huyo Kijana hana Maono kabisa!

    Natoa mwongozo tu Kwa hawa Vijana kwamba ukiwa muimba mapambio ujue utaimba Milele Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ACHA wazee tusifu na kuabudu lakini nyie Vijana Wakati Wote onesheni Vichwa...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  9. I

    Uchawa na Watanganyika

    Dhana ya uchawa inazidi kushika kasi. Ila ajabu ipo tu miongoni mwa Watanganyika. Sikuwahi kusikia Mzanzibari chawa. Karibuni kwa mjadala bila mihemko.
  10. Dialogist

    Video: Huu sio uchawa, ni ukupe na ukunguni kabisa. Tuupige vita

    Wanabodi, Ni Kweli Maisha Ni Magumu, Kiasi Kwamba Kila Mtu Hasa Vijana Akitaka Apate Unafuu Wa Maisha Basi Ni Shurti " Kumlamba Miguu" Aliye Juu Yako Kwa Namna Yoyote Itakayokuonesha Wewe Unampenda Muhusika... Lakini Kwa Tabia Kama Hizi.. It's Too Much..
  11. Kekule Wa Benzene Ring

    Yanga vs Kagera: huyu Nassoro Mwinchui aache kujiaibisha na uchawa kwa Yanga

    Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki kuamini kuwa ni issue ya bahasha toka Kwenye uongozi Bali uchawa wake. Kuna matukio Zaidi ya matano...
  12. mtetezi wa MAGU

    Uchawa unaangamiza Taifa

    Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari kutokemea uovu au jambo lisiloenda sawa kwa sababu tu ananufaika. Chawa akimganda mtu haijalishi...
  13. Bila bila

    Siku ya kuzaliwa Rais inapogeuzwa sikukuu ya kitaifa

    Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania. Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za kuzaliwa kiongozi zinageuzwa sherehe za kitaifa. Naziita za kitaifa Kwa sababu zimepangwa kimikoa Kila...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na...
  15. The Father of All

    Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  16. G

    Ufm na ubaguzi, Udini na uchawa

    Kumekuwa msikilizaji mzuri wa ufm kwa baadhi ya vipindi vyake. Niliamua kupunguza vipindi vya kusikiliza baada ya kugundua kuwa wana uchawa mwingi sana. Niliendelea kusikiliza vipindi vya mziki wa zamani siku za alhamisi na jumamosi. Jana ikiwa ni boxing day na tukiwa bado katika msimu wa Xmas...
  17. M

    Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  18. Aelknes

    Uchawa ni janga linalotupelekea sehemu mbaya zaidi

    Hili jambo la uchawa binafsi nimeliona ni tatizo ambalo linazidi kutupeleka sehemu mbaya zaidi Sasahivi makazini boss hata kama anakosea,huwezi kukuta anakosolewa watu wanamsifia hata kwenye jambo la kijinga wakijua kuna mahali watapata favour Ama ukijiona unataka kufanya jambo unalojua...
  19. The Father of All

    Je kuna kitu choche cha maana au kizuri watanzania wanaweza kujifunza au kujivunia toka CCM ya sasa na uchawa wake?

    Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania? Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...
  20. Influenza

    PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
Back
Top Bottom